Recent content by Hubiri

  1. Hubiri

    JamiiForums Tanzania Ikiwa tangu enzi Viongozi wetu wa dini walivaa hivi kwanini sisi tuvae tofauti kinyume na maadili...

    Heee! huyu naye eti kanzu na hijabu kabisa,uislam ndo dini ya haki. kuvaa hivo ndo ishara ya kwamba mtu anaenda peponi au paradiso? kila nchi ina utamaduni wake,pia acha kuiga iga ovyo ovyo
  2. Hubiri

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa CCM akutwa na bunduki 11 zinazosadikiwa kutumika kwa ujangili

    Aaaaah! chama cha mapinduzi ccm na namba onee
  3. Hubiri

    JamiiForums Tanzania Mwendokasi sasa shidaa!!

    mwendokasi unaua,tafadhali endesha pole pole.
  4. Hubiri

    JamiiForums Tanzania Picha; Mwanaume wa Kanda ya ziwa awadhibiti panya road

    aaaaash! hahaaaaaaa!
  5. Hubiri

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli miti hujongea/kuwasiliana na kuna aina fulani ya miti ina miujiza?

    mmmh hapo kuna wizara ya mambo ya rohoni inahusika
  6. Hubiri

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi waachwe wasome

    mi mwenyewe nataka nirudi shule nivunje rekodi iliyowekwa na yuleeee bibi wa kenyaaaaa
  7. Hubiri

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Christiano ronaldo na Gareth BALE

    ngoja tuwasubiri wachabuzi wengine waje Ova
  8. Hubiri

    JamiiForums Tanzania Kumbe Mosul ndio ile Ninawi/Nineveh ya Yonah

    ahaaaa! kumbe?
  9. Hubiri

    JamiiForums Tanzania Mkuu wa Wilaya ya Geita kapiga marufuku mikesha ya waumini wa kikristo

    amekichoka cheo alichepewa anataka akale nyasi kama nebukadreza
  10. Hubiri

    JamiiForums Tanzania Dunia ina Umri gani? Mabillioni, Mamillioni, Malaki au Maelfu?

    UPO SAHIHI MAANA WANADAMU KATIKA KIPINDI HIKI CHA LALA SALAMA WANAPENDA SANA KUFUATA YALE WANAYOYAONA SIO YALE WANAYOYASIKIA.HERI ANAYEPENDA KUFUATA YALE ANAYOYASIKIA MAANA IMANI CHANZO CHAKE NI KUSIKIA
  11. Hubiri

    JamiiForums Tanzania UDART majanga, hakuna huduma tangu saa 4 asubuhi

    Mbaka Saa hii Hakuna huduma ni majanga kweli kweli
  12. Hubiri

    JamiiForums Tanzania Kutoka Mahakamani: Scorpion afutiwa shtaka unyang'anyi wa kutumia silaha na kujeruhi

    sasa unathibitisha kuwa jamaa kibaka au una mtetea!!?
  13. Hubiri

    JamiiForums Tanzania Wanasayansi kuunda taifa jipya anga za juu

    Akili zikizidi sana mwisho huitwa ukichaa
Back
Top Bottom