Poleni na majukumu.Wakuu naamini na inapendeza zaidi kuombeana sisi kwa sisi muda na wakati wowote ili wenzako wafanikiwe na wakifanikiwa wao Mungu hufungua milango ya baraka na kwako. Sasa jamani kwa nini wakati mwingine unaweza ukawaombea wenzako wafanikiwe...
Poleni na majukumu,
Naomba kuuliza hivi ukigungua umemkosea mwenzako, ukaamua kuomba msamaha ni kujishushia hadhi au ni kuonekana bila yeye wewe hauwezi kitu.
Naomba tusaidiane kutafakari
Habari wapendwa, poleni na majukumu.
Naomba kuuliza ni kwanini baadhi ya watoto wa kiume wakishaondoka nyumbani kwa kuwa na familia yake au kuishi peke yake, huwa inakuwa vigumu kukumbuka nyumbani ukilinganisha na watoto wengi wa kike ambao mara nyingi hukumbuka nyumbani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.