Naomba wanaume wajibu:Make/mpenzi anayemsapoti

Naomba wanaume wajibu:Make/mpenzi anayemsapoti

Joined
Sep 25, 2017
Posts
7
Reaction score
5
Poleeni na shughuli wapendwa.Wanaume mnaposema ungependa uwe na mke/ mpenzi anayekusapoti huwa mnaangalia kusapotiwa katika lipi?
 
mke ni msaidizi wa mume, pale inapitokea mume anahitaji msaada, plz mpe support, hii inaapply kwenye nyanja zote katika maisha, mpe backup,
 
kila idara,,,, hata mmewe akichepuka wajadiliane namna ya kuacha kuchepuka....
 
Kwa kila sekta uchumi, politiko, soshio, hata nikiwa na kamchepuko awe mwelewa tu hizo ndo sapoti zenyewe.😀
 
Mimi kama nafanya biashara hapa mjini pesa napata, nahitaji mke wangu ndo uwe mshauri mzuri katika kupanga matumizi mazuri ya fedha zetu, siyo kila siku unawaza kununua madera mapya au kushindana na vibinti insta. Kwa kifupi uwe na akili ya maisha. I need you to be smart upstairs.
 
Awe anajua wajibu wake kwangu maana unaweza ukawa na mke hajui wajibu wake kwa Mme. Mda wote anawaza kushindana na Mme wake
 
Kwa yote, mazuri na mabaya.

Jana bi Zahra ametaka hereni za dhahabu za aina gani sijui huko, nimem nunulia,nilichotakakujua ni kama dhahabu ya kweli tu, maana sitaki habari za vitu fake.

Nikiwa juu ya mawe -kitu ambacho sipangi- najua na yeye atani support kwa yangu yote.

In fact hata sasa ana support mamuzi yangu ya biashara, kazi, ubunifu katika maisha, tuna mtazamo unaooana.

Ndiyo raha ya mapenzi.

Ukiwa na mtu mnaoenda pamoja hivyoni raha tupu.

Siyo mtu mtazamo wako wa maisha mtu m Sandinista unaenda kuwana mpenzi kuwadiwa mabepari wa Vensis.

Mtapigana kila siku.
 
Mimi kama nafanya biashara hapa mjini pesa napata, nahitaji mke wangu ndo uwe mshauri mzuri katika kupanga matumizi mazuri ya fedha zetu, siyo kila siku unawaza kununua madera mapya au kushindana na vibinti insta. Kwa kifupi uwe na akili ya maisha. I need you to be smart upstairs.
You said it all

Japokuwa vijana wa siku hizi atataka na pesa za mwanamke pia
 
Sapoti kwenye utafutaji na kwenye matumizi pia,sapoti ya kimawazo,sapoti ya kusolve changamoto za kila siku.
 
"Moral and material support"

Sijui nimepatiaa??[emoji848][emoji848]
 
Pale ninapoimba " hatunywi sumu hatujinyongi" awe anaitikia "CCM MBELE kwa MBELEEE" support hio inatosha kulegeza vyuma vilivyokaza
 
Support ni unafanya kazi na mmeo anafanya kazi,Mme hela zake zote zinaingia matumizi ya nyumbani,ada ya watoto,chakula,kodi,sasa na wewe unachangia ,au mnapanga matumizi ya hela pamoja na hizo zako,..au kama huna kazi ni mama wa nyumbani basi ukiachiwa hela ya matumizi kila kitu kiwe kinapatikana na Nyumba inakuwa hali ya usafi siyo mme anarudi toka kazini na mgeni Mara chupi ya mtoto ipo kwenye kochi,hapajadekiwa,msosi ni kiporo ya Jana imepashwa
 
Back
Top Bottom