Recent content by hotgal

  1. hotgal

    JamiiForums "Maombi ya kazi"

    Au cyo... We pia mhanga nini mbona una hasira sana,,,, pole na stress zako za asubuh asubuh....
  2. hotgal

    JamiiForums "Maombi ya kazi"

    Ilemela, nimehitimu mwaka jana
  3. hotgal

    JamiiForums "Maombi ya kazi"

    Barikiwa, inaonekana una stress za maisha tu na wew!!!!
  4. hotgal

    JamiiForums "Maombi ya kazi"

    Mweeeh, hicho tu ndyo umekiona.... [emoji23][emoji23][emoji23] haya bana... Ni kiswahili na english(kingereza)
  5. hotgal

    JamiiForums "Maombi ya kazi"

    Mi ni msichana wa miaka 26,muhitimu wa bachelor ya education masomo ya englsh na kiswhil, natafuta kazi ya kufundisha kuanzia ngaz ya primary.. Nipo mwanza!!!! Ahsanten
  6. hotgal

    JamiiForums "Sports games"

    Mtu anaeajiliwa kwenye hizi kampuni za sports games, kaz yake ni ipi,???? Vile vile naomba kufaham category mbali mbali za hiz games,,, lakin pia ningependa kujua wanalipwaje hawa watu,,,,,??? Ahsanten
  7. hotgal

    JamiiForums Sports Games

    Habar zenu ndg,naomba kuuliza " mtu anaeajiliwa kwenye hizi sports games...kaz yake ni ipi???pia naomba kujua hizi games zipo ktk category ngapi!???mshahara wa huyu mtu unaweza kuwa sh ngapi kwa mwez,,,ahsanteni!!!!!
  8. hotgal

    JamiiForums Nachelewa kufika kileleni ninapokuwa na mmoja kati ya wake zangu

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hapo unaona sifaaa,,,,fyuuu ipo cku utafia papuchini wewe!!!!
Back
Top Bottom