"Maombi ya kazi"

"Maombi ya kazi"

hotgal

Member
Joined
Oct 22, 2017
Posts
8
Reaction score
1
Mi ni msichana wa miaka 26,muhitimu wa bachelor ya education masomo ya englsh na kiswhil, natafuta kazi ya kufundisha kuanzia ngaz ya primary.. Nipo mwanza!!!! Ahsanten
 
Mi ni msichana wa miaka 26,muhitimu wa bachelor ya education masomo ya englsh na kiswhil, natafuta kazi ya kufundisha kuanzia ngaz ya primary.. Nipo mwanza!!!! Ahsanten
english kiswhl? haha ok
 
Mweeeh, hicho tu ndyo umekiona.... [emoji23][emoji23][emoji23] haya bana... Ni kiswahili na english(kingereza)
unaomba kazi kihuni hupati kwakweli anza kukaanga maandazi mdogo mdogo.....................
 
Chura ipo?
012.jpeg
 
unaomba kazi kihuni hupati kwakweli anza kukaanga maandazi mdogo mdogo.....................
Au cyo... We pia mhanga nini mbona una hasira sana,,,, pole na stress zako za asubuh asubuh....
 
Englsh kiswhil [emoji118] [emoji23] [emoji23] kwa uandishi huu... endelea kutafuta
 
Au cyo... We pia mhanga nini mbona una hasira sana,,,, pole na stress zako za asubuh asubuh....
Nikuase dada angu..
Vitu vingine si vya kujibishana unapotezea tu..
Watu wanakuchora humu unavyojibu mwishowe itakua mbaya kwako. Kama mtu kakuudhi jibu la hekima ni KUKAA KIMYA.
 
Back
Top Bottom