Recent content by Hot27

  1. Hot27

    Mwenda tezi na omo, marejeo ni ngamani

    Napenda simulizi ila hii imenitoa jasho aisee, kila nikijipa moyo nitaelewa next chapter ndio nakutana na lugha ngumu balaa
  2. Hot27

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Hapana mkuu bali kuona uwezo wamtu na kujua kama kafika. Enewei Only 520k boss, maongezi yapo
  3. Hot27

    Wauza smartphone tukutane hapa

    Pixel 7 plain inauzwa Gb 128 RAM 8 Haina kipengele chochote, imetumika wiki pekee Tsh 520k, Maongezi yapo
  4. Hot27

    Nikifanya hiki kitendo kwa mwanamke, nini kitatokea?

    Hii nchi katiba mpya itapatikana kweli 😂 😂 🤣
  5. Hot27

    Karibu ujipatie viatu mbalimbali vya michezo, mipira, jeans, t-shirt, kofia na mabegi mbalimbali

    0794 780 246 namba hio Boss, nitafute WhatsApp ama kawaida
  6. Hot27

    Karibu ujipatie viatu mbalimbali vya michezo, mipira, jeans, t-shirt, kofia na mabegi mbalimbali

    Nakutumia DM soon Boss au nitatuma haoa na wengine waone
  7. Hot27

    Niliacha pombe sasa hivi nimerudia ulevi tena

    Mkuu, kama unatumia pesa yako kunywa ila kunywa kiasi. Kamq hautumii pesa ya biashara na nyumbani unahudumia vizuri kunywa kwaafya. Chamwisho kama umeoa mshirikishe mkeo.
Back
Top Bottom