Recent content by Hossam

  1. Hossam

    JamiiForums Tanzania Wanahabari wapata Ajali wakitoka kwenye sherehe ya CCM

    Pole sana gari
  2. Hossam

    JamiiForums Tanzania Dr Kigwangala aanza kusaka ajira mbadala ya Ubunge

    Hahahaha
  3. Hossam

    JamiiForums Tanzania Kitengo cha propaganda CHADEMA mmepoa sana!

    Nawashauri kipindi hiki kuelekea Oktoba na hatma ya uchaguzi mkuu jaribuni kuwa active. Wenzenu upande wa pili wako vizuri sana. Vijana wenu hasa kwenye online platforms waambieni wajaribu kwenda na kasi zaidi ya wenzenu upande wa pili. Pangu Pakavu
  4. Hossam

    JamiiForums Tanzania Hennessy ni overrated

    Sawa, badilisha mapazia ya kichina mkuu.
  5. Hossam

    JamiiForums Tanzania KERO Kuna kukatika kwa umeme kumeanza kwa kasi nchini

    Arusha wamekata saa nane usiku wamerudisha asubuhi hii.
  6. Hossam

    JamiiForums Tanzania KERO Makonda ingilia kati tatizo la maji Kiseriani, yanatoka mara moja kwa wiki tena usiku

    Mheshimiwa mkuu wa mkoa, sisi wakazi wa Kiseriani hasa maeneo ya Kilimani tuliungiwa maji mwezi wa tatu mwaka huu. Ajabu maji yanatoka mara moja kwa wiki tena usiku. Hatuelewi kisa cha kuungiwa maji na kuendelea kuteseka. Tunaomba ingilia kati tupate huduma hii kama wakazi wengine wa maeneo...
  7. Hossam

    JamiiForums Tanzania DC Temeke: Mtu akipiga Picha na hela akamatwe

    Anayo doto magari na chifu gudilaki
  8. Hossam

    JamiiForums Tanzania Nataka kununua simu kwa mtu je nifate utaratibu gani? Mtu huyo simfahamu

    Jiandae kwenda jela
  9. Hossam

    JamiiForums Tanzania Arusha: Abiria wa Mikoani wamekwama!

    Tulia basi uelewe.
  10. Hossam

    JamiiForums Tanzania Arusha: Abiria wa Mikoani wamekwama!

    Tangu alfajiri abiria wapo na hakuna dalili ya kwenda mikoani. Fununu zilizopo ni kuwa darajani kwa Msomali pamejaa maji. Naweka picha ya stendi ndogo Arusha. Tunaomba mwenye taarifa kamili asaidie. Pangu Pakavu.
  11. Hossam

    JamiiForums Tanzania KERO The Place Bar (Moshono, Arusha) mnatuharibia watoto kwa muziki usiku kucha kila siku

    Naomba NEMC aisee muingilie kati. Hawa jamaa wa The Place bar Moshono Arusha wanapiga muziki kwa sauti ya juu sana usiku kucha. Majirani hapa hakuna kulala. Watoto usiku kucha ni kuhangaika nao tu. Naomba mamlaka husika zichukue hatua watoto wetu na hata sisi watu wazima tunashindwa kulala...
Back
Top Bottom