Jaman habar zenu .samahan Nina katatizo kidogo nimeajaribu kudownload movie kupitia pirate Bay but Inanambia 503 error . nimeajaribu fz movies imegoma hebu nisaidien Kama Kuna mtu Yuko vizur maana nahitajika kudownload.[emoji19]
Habar zenu jaman.kwanza nawatakia heri ya xmass na mwaka mpya .Ndugu me ninashida na wanaojua cmd ( command line zake ) au hata kama unavideo au link ya toturial nzur ntumie hoseaalute3@gmail.com au 0621920438 .ahsanten[emoji120]
Jaman habari zenu!.nimepata taitizo kwenye SMU yangu Tecno N8 niliweka pattern afu nimeisahau sasa naomba mnisaidie jinsi ya kufix hili tatizo .kwa njia yeyote iwe program au techinc nyingine.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.