Kwanza pole kwa changamoto. Jambo la kwanza nakushauri kama hujampokea Bwana Yesu kama mwokozi wa maisha yako fanya hivyo. Baada ya hapo wewe hutakuwa tena umeunganishwa na hizo madhabahu. Cha pili, sambamba na maombi itabidi kushughulikia badilisho la ufahamu wako na kutambua uhalisi wa kile...
Aliyafanya yote yapaswayo kufanywa katika tamaduni ya myahudi wa wakati huo. Naye mama yake vivyo hivyo alitenda sawa na taratibu za mwanamke wa Kiyahudi. Asante.
Mungu kakuumba na utashi unaokuwezesha uchague unavhotaka. Ila anakushauri umsikilize Yeye maana atakupa jawabu bora kwa kila utakalouliza. Lakini mwanadamu unajifanya akili nyingi kisa tu umeumbwa kwa sura na mfano wake. Ukipata matokeo ya uchaguzi wako unarudi kulalamika kuwa Mungu hayupo...
Mmmh! Unaomba serikali iamue mambo ya imani, sidhani kama hilo limekaa sawa. Labda ndani ya mikusanyiko ya kimadhebu kwa mfano pentecostal waunde chombo hicho na wakisimamie wao kwa umoja wao na kanuni zao na imani yao.
Wakamjibu, “Ni vya Kaisari.” Basi Yesu akawaambia, “Mpeni Kaisari kilicho...
Kwenye maombi muda sio kipaumbele sana lakini content ya maombi yako ndio kinachokubeba zaidi.
Nanyi mkiwa katika kusali, msipayuke-payuke, kama watu wa mataifa; maana wao hudhani ya kuwa watasikiwa kwa sababu ya maneno yao kuwa mengi. Mathayo 6:7 SUV
Safi sana, pongezi kubwa sana kwao. Nadhani mindset kama hii ikitiliwa mkazo kwa mikoa mingine changamoto nyingi sana zitatatulika kwa nguvu kidogo ya serikali. Ni kuomba tu watu kama hawa wawekewe wepesi kwenye uwekezaji wanaofanya. Heko kwenu Wahaya.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.