Ama kweli hamkani si shwari kwa Chama Cha Majizi.Wenye kujitambua hawana muda wa kusogea kwenye 'maonyesho' yao.
Zoa zoa na kusanya kusanya kwengineko kujaza mikutano sasa inakwenda mbali zaidi.Sasa ni kukusanya na wanafunzi kujaza mikutano bila ya kujali ni Jumapili au likizo.Nimejionea...
Mazingira ya namna hii yakimkuta kiongozi yeyote yule pale alipo,kama atakua anajitambua bila shaka atang'amua kwamba amepoteza uhalali wa kuwa madarakani
Unajua mnaposema wahuni bado ni neno zuri.Hilo ni genge la majambazi.Genge hili limeteka nyara kila kitu kiasi kwamba hata wa kuishi ofisi kuu wanaamua wao.Ni genge hatari na ndilo linslofilisi nchi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.