Ndo nakwambia; usishangae mtu kufua chupi, yamkini hayo ni makubaliano yao.
Kama hajalalamika mtuhumiwa mwenyewe, na haujui makubaliano yao wakati wa ajira, nyamaza kimya.
Joyce kiria wewe!!! Kwenda uko.
Yawezekana kwamba hayo yalikuwa ni makubaliano wakati anaajiriwa.
Kama hauna uhakika wa makubaliano yao siku anaajiriwa, funga domo lako na uache kuingilia mambo ya watu!!
Ubora wa chuo unategemea na uwezo wako. Ungefaulu vizuri usingeenda IFM. Wewe ulipiga chache ndo maana umeponea IFM. Tulia babu, soma, ndo chuo stahiki ya uwezo wako.
Dah.. ulishaskia kwamfano mtu anasema.
"Imekosewa sana kujenga barabara hapa kwa sababu mvua haitanyesha"
Mtu kama huyu utaanza kumjibu?! au kumfundisha?! au kumuuliza?!
Ndio hali nilionayo baada ya wewe kueleza kisa cha kukosewa dawa. Dah!
Takwimu za NEC zinaonesha hilo pia ndio jimbo pekee lililoharibu kura NYINGI kuliko majimbo yote Tanzania.
Kwa kuongezea tu ni kwamba jimbo liliharibu kura chache kushinda yote ni kilindi Tanga.
Ili kutoonesha ishara yoyote ya kuwa mshabiki wa chama fulani wakati wa zoezi la kupig kura, ni vyema kuvaa nguo yenye rangi isiyowakilisha chama chochote cha siasa kwenye bendera za vyama husika.
Je, ni rangi gani hasa ya nguo isiyowakilisha chama fulani cha siasa?
Kijani-CCM
Njano-CCM...
Ccm out! Tena unajua watu wengi wa ccm ni wazee ambao wengi wao wameshaogopa kwenda kupiga kura kwa kuhofia fujo. Kwahio wapigakura wengi watakuwa ni vijana wanaoiunga mkono UKAWA. Lowassa anashinda
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.