Habari za usiku wakuu.
Nashangazwa sana na namna serikali inavyozuia shughuli za kiuchumi kwa kigezo cha kukuza uchumi.
Mfano mzuri ni kuzuia kongamano la chadema mkoani mwanza, serikali inashindwa kutafakari kwamba kupitia kongamano hili kuna watu wengi wataingiza kipato ikiwamo na serikali...
Soma luka 23:50.........,then utaelewa ni siku gani.
Kama dunia nzima tunaadhimisha Ijumaa kuu kama siku ya kufa bwana wetu yesu kristo, na jumapili kama siku ya kufufuka bwana wetu yesu Kristo, basi utajua sabato ni siku gani.
Pia ushaidi mwingine ni huu hapa wa baadhi ya dictionary.
: Mwanzo2:2
Na siku ya saba Mungu alimaliza kazi yake yote aliyoifanya; akastarehe siku ya saba, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoifanya.
: Mwanzo2:3
Mungu akaibarikia siku ya saba, akaitakasa kwa sababu katika siku hiyo Mungu alistarehe, akaacha kufanya kazi yake yote aliyoiumba na...
Mkuu mimi niliacha kutumia condom kitambo kidogo, sababu sipati stimu kabisa. Kuhusu kupima ni jambo la hiari hivyo huwa nampa taarifa mlengwa mapema sana ili kama hayuko tayari tuhairishe game.
Mimi nadhani kupima mara kwa mara ni njia mojawapo ya kujali afya yako.
Mkuu mara zote huwa na kipimo zaidi ya kimoja, nikimaliza kumpima mlengwa na mimi hujipima ili aone majibu yangu then tunapiga nyama kwa nyama. Lakini pia siku mrembo anayokuja magettoni huwa najipima kwanza alone ili nijijue niko katika state ipi.
Mkuu hizi kits zinapatikana bure, kila mtu anaweza kuwa nayo wala sio siri, ni kwa usalama wako, ethics ni kuto kutoa taarifa za mteja na kuexpose confidential documents.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.