Recent content by HOPECOMFORT

  1. HOPECOMFORT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ushawi kubaka au kubakwa ?

    Halafu wawe hapa?! Au baada ya kuvumilia kifungo???
  2. HOPECOMFORT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

    Hicho walicho kwambia ndo uingie nacho kwenye maombi...jiombee mwenyewe...omba mpaka upate wepesi... possibly kuna mikosi kweli au uoga tu vyote viondoe kupitia maombi.... Unadhani mtumishi akikuombea atakwambia nini?
  3. HOPECOMFORT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kuondokana na haya majeraha yanayo niumiza moyo wangu

    Una wazazi? Sungumza nao... Kama kuna wanacho kijua kuhusiana na jambo lako watakwambia... matatizo mengine yaaweza kuwa yapo kwenye familia...maagano ya wazazi au mababu halafu mnakuja kuyabeba bila kujua.... Familiar ya alie fariki unaifahamu vizuri? Au inaweza kuwa ni siku yake tu imefika...
  4. HOPECOMFORT

    JamiiForums Tanzania Hitimisho la Kesi: Licha ya hukumu kutolewa, hakuna official statement niliyokabidhiwa mahakamani

    Baada ya kusoma story nzima huu wimbo ukanijia kichwani,👇 George Michael - careless whisper
  5. HOPECOMFORT

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi Mchungaji Msigwa?

    Kila jambo na wakati wake
  6. HOPECOMFORT

    JamiiForums Tanzania Ni wakati sasa Kuwa na Police Post kila Ofisi ya Serikali ya Mtaa, Kifo kilichotokea Idris St kimenishangaza sana!

    Kwa hali ilivyo sasa kama una bifu kubwa na mtu ndo muda watu wanaenda na pindi... Mungu tu ndo ataweza nyamazisha vunginevyo😷
  7. HOPECOMFORT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mtoto niliyemkataa miaka 4 iliyopita, anafanana na mimi. Sasa ameletwa karibu na ninapoishi

    Pamoja na kutambua ni wako lkn bado unamkataa!!! Eti akija kucheza n wanao!! Mungu amkuze katika vyema ukubwani mkutane
  8. HOPECOMFORT

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Mbunge Juliana Shonza Akabidhi Mifuko ya Saruji 20 (400,000) Ujenzi Ofisi za UWT Kata

    Uwt ofisi...ndo kachangia..tena laki 4!!! Imekuwa habari! Na picha lukuki!!! Hongereni kwa mtakao nufaika na ujenzi huo...
  9. HOPECOMFORT

    JamiiForums Tanzania Bosi alinisimamisha kazi bila sababu yoyote. Leo anamwambia mwenye kampuni kwamba nina matatizo ya kifamilia

    Mbongo kwenye kazi ya mweupe halafu ukute ana ka cheo..huwa na figisu mbaya sana. Ukirudi fanya kilicho kupeleka marafiki weka pembeni mana hao hao watatumika kuwa anguko lako. Fanya kazi kwa malengo siku ifike ukafanye yako.
  10. HOPECOMFORT

    JamiiForums Tanzania Mlioko Uingereza, msaidieni huyu mama kufahamu wanawe walipo

    Inaonekana hii barua iliandikwa muda mrefu sio hivi karibuni.. maana 1994 mpaka leo ni miaka 30
  11. HOPECOMFORT

    JamiiForums Tanzania Ukitaka kujua Biashara ngumu fanya biashara na Wahindi

    Pantaka rangi hiyo.. mimi iko taka Ile pale....ukileta ile.. hapana hapana mama ngoja mimi ingia kuchagua mwenyewe..hapo atavuruga shelfu lote na asinunue
  12. HOPECOMFORT

    JamiiForums Tanzania Ikitokea ukapewa fursa ya kukutana na wewe mwenyewe wa miaka 10 nyuma. Je, utajishauri nini?

    Njia niliyo kuwa naiendea ilikuwa sahihi kuliko hii ya kuzunguka mlima seiri...... Nashukuru Mungu amtupi mja wake..natembea tena.
  13. HOPECOMFORT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Ewe Mwanamke, Siri ya mmeo iweke kibindoni

    Kuna mwingine atatumia udhahifu wako wa kumfichia ujinga wake kuendeleza zaidi....ukiongea itakusaidia kuyatoa moyoni na kumpuuzia asiendelee kukuumiza..... Kikubwa sema kwa watu wako unao waamini ..zaidi wa familia yako sio marafiki mana siku mmepishana tu kidogo umekwisha.
  14. HOPECOMFORT

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tabia nisizozipenda kwa mabinti wa kaskazini (hasa wachaga) wakiolewa

    Ndugu yetu yeye hana ndugu anae muona kwake na hata wakienda chamoto watakiona..sijui ni stage gani sasa lkn watajuana wenyewe
Back
Top Bottom