Recent content by hopecomfort 2

  1. hopecomfort 2

    Matembezi ya Mshikamano kuchangia Wahanga wa Tetemeko la Ardhi kufanyika Jumamosi Sept 17

    Tutachangia kwasabu hakuna ajuae kesho. Lakini tusije sikia malalamiko kwa wahanga.... Isije tokea mkawa pelekea kwa ubaguzi..... Mungu atawaona
  2. hopecomfort 2

    Alichofanya Shilole kwenye Fiesta

    Tukiwa wazima wenye nguvu na afya tele.. Tunaji sahau sana
  3. hopecomfort 2

    Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

    Muziki ni starehe lakini kwetu unageuka presha..... Kama vile siasa za nanii na nanii bana
  4. hopecomfort 2

    Huyu ndio surprise au bonus artist anaewakilisha bongo

    Wasio mpenda kaenda.. Unategemea nini! Wenyewe wanatamani wasanii wote wapotee abakie huyo.. Lakini Mungu sio Sallam.
  5. hopecomfort 2

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni muumini wa imani ipi?

    Mungu wenu nyie ni nani? Kinacho kufanya ujione uko sahihi kuliko wengine ni kitu gani? Kwani ukitulia kwenye imani yako na wengine wabaki kwao mtapungukiwa na nini?
  6. hopecomfort 2

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ni muumini wa imani ipi?

    Umeelewa post lakini? Alie zungumziwa ni Majaliwa Kasim.....sasa hapo hiyo chuki kwa unae mzungumzia iko wapi? Ungejibu swali tu mkuu
  7. hopecomfort 2

    Nimepanga kumpa mke wangu nusu ya Mshahara

    Unajijua kuwa wewe ni mfujaji au? Sasa hapa umeleta taarifa mkeo usha mwambia
  8. hopecomfort 2

    Pendekezo: ITV iwe TV ya Taifa badala ya TBC.

    TBC imeonyesha nini mpaka sasa? Halafu kwani TBC ipo hewani kweli maana sa mbili asilimia kubwa ya watazamaji huangalia itv.
  9. hopecomfort 2

    Makonda wote akili zao ni sawa?

    Huku aisie Fanya kazi na asile.. Hapo unategemea nini mkuu?! Ndo mana wanakua na hasira na mara zote wanakurupuka tu.
  10. hopecomfort 2

    Makonda wote akili zao ni sawa?

    Ndo madhara ya kuingia ndani bila bila kubisha hodi... Muda wote roho juu anawaza kusemwa tu
  11. hopecomfort 2

    Makonda wote akili zao ni sawa?

    Umekurupuka bila sababu. Ebu jifunze kusoma basi... Bavocha ndo kitu gani sasa.. Hapa wana zungumziwa makondakta... Huyo wako ni yupi?
  12. hopecomfort 2

    Barua ya Vitali Maembe kwa Rais Magufuli

    Kakosa nini? Na kwanini? Kwanini? Ana sikitisha sana.... Mungu atamsaidia
  13. hopecomfort 2

    Hudson Kamoga wa Kipindi cha 360 ya Clouds TV ateuliwa kuwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya

    Tunako elekea utasikia kateuliwa Fulani kua mwalimu wa shule ya msingi na mwingine kateuliwa kua muuguzi... Hakuna ajira mpya lkn zipo za kupewa kina mwa fulani...... Asante Mungu kwa kunifanya nizoee
  14. hopecomfort 2

    Wabunge wa CCM kuweni macho

    Hawana habari... Watakusikiliza kipindi cha uchaguzi tena
Back
Top Bottom