Recent content by Honeymoon

  1. H

    Maalim Seif ahutubia umati wa wafuasi wa CUF Buguruni saa 3 usiku jana

    Mungu hamfichi mnafiki....Chama ni taasisi
  2. H

    Dr. Slaa aanza ziara nzito Nyanda za juu Kusini

    Rais wa mioyo ya Watanzania
  3. H

    Lowassa amjibu Nape

    Hivi hayo mabilioni ambayo jambazi la Richmond linayatumia kutengeneza hiyo filamu yatalipwaje? Ikulu kuna biashara gani hata atumie hela zote hizo kuingia? Hana mvuto wa kuwa Rais labda tu anaweza kuwa bongomovie superstar
  4. H

    Mtunzi na muhamasishaji wa nyimbo za CHADEMA, ahamia ACT - Wazalendo

    Kamuulize Wassira alosema CHADEMA ingekufa 2013
  5. H

    Umoja wa walemavu Mwanza, wamsihi Muhongo kugombea urais

    Lazma itakuwa ni umoja wa walemavu wenye akili.....hahahahaaaaaaa samahani lakini
  6. H

    95% ya Wabunge wa viti maalum CHADEMA hawafai kurudi tena bungeni

    Huo ukamanda gani sasa hizo issue ni za kujadili kwenye media kweli...Aiseee
  7. H

    Kafulila vs Zitto, Nani aliibua hoja ya Escrow Bungeni?

    Zzk alikuwa msoma ripoti tu kama ambavyo yeyote ambae angekuwa mwenyekiti wa PAC angefanya
  8. H

    Kigoma Mjini Wamkana Zitto Kabwe na Kigoma Kaskazini Serukamba amekataliwa

    Once a traitor always a traitor...Na bado atakataliwa hadi peponi
  9. H

    Maxence Melo na wamilliki wengine wa mitandao wapinga muswada wa makosa ya kimtandao

    Sheria ni msumeno....usifikiri wewe utabaki salama rais akiisaini
  10. H

    Bila Lissu Bungeni tungeburuzwa sana

    Aiseee kaazi sana issue ni kuondoa mfumo huu mbovu ulowekwa na CCM kwakuhamasishana kujiandikisha,kupiga kura na kulinda kura
  11. H

    Bungeni Leo - Aprili 1, 2015: Bunge laahirishwa ghafla, Muswada wa Vyombo vya Habari kusomwa!

    Tanzania nchi yangu...duuu natamani ningekua mnaija
  12. H

    Vyama pinzani vijiandae leo ndio mwanzo wa anguko lao.

    ACT iwatishe CHADEMA? Kweli haya maajabu tatizo CCM wanatumia na kukifadhili ACT ko kipo kudhoofisha CDM jambo ambalo bado ni ndoto za mchana Eti mzimu wa Zitto uwaweweseshe CDM hapo ni sawa na kutishwa na kinyago ulichochonga mwenyewe
  13. H

    Tundu Lissu Awindwa

    Watafanya kila hila na hawatafanikiwa....waanzie kwa Mwigulu
  14. H

    Habari na Picha: Mkutano Mkuu wa ACT-Tanzania ulivyofana.

    Kumbe walikuwa wanamsubiri mwenye chama ndo wafanye uchaguzi? Kweli pembe la Ng'ombe halifichiki kamwe
Back
Top Bottom