Recent content by Honest K

  1. H

    JamiiForums Tanzania TUNAZA KOROSHO AINA ZOTE

    Karibuni #Korosho kwa bei nafuu kabisa ya kutupa zenye ubora na utamu wa HALI YA JUU. Na tunafanya DERIVERY popote ndani ya MIPAKA ya TZ. BEI ZETU; Kg 1 unajipatia kwa Tshs. 25,000/= TUNAUZA KWA BEI ZA JUMLA PIA KUANZIA KGS 10. Pia kampuni yetu cha CHILUMBA CASHEWS SUPPLIER inasimama kama...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwema waungwana? Naomba kufahamu hivi nini kilipelekea enzi zile Askofu Gwajima kupishana/kumtupia maneno Kardinali Pengo ?

    Kwema waungwana? Naomba kufahamu hivi nini kilipelekea enzi zile Askofu Gwajima kupishana/kumtupia maneno Kardinali Pengo ?
  3. H

    JamiiForums Tanzania KOROSHO KOROSHO KOROSHO TSHS 25,000 PER KGS GRADES NO. 1 DIRECTLY FROM MTWARA-TANDAHIMBA 0615326654(Whatsapp and Normal Calls)

    Karibuni Korosho kwa bei nafuu kabisa ya kutupa zenye ubora na utamu wa HALI YA JUU. Na tunafanya DERIVERY popote ndani ya MIPAKA ya TZ. BEI ZETU; Kg 1 unajipatia kwa Tshs. 25,000/= Nusu unajipatia kwa Tshs 12,000/= JUMLA TUNAELEWANA kuanzia Kgs 10 Kulingana na kiasi matajiri zetu Mtahitaji...
  4. H

    JamiiForums Tanzania Nauza korosho jumla na rejareja. Utamu na ubora ni wa hali ya juu

    Nawashauri, nunua za Bei Rahisi.
  5. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanasiasa anayeitwa Sifuna ni nani?

    Naamini wale ndugu zake Mzee Baba hayati Odinga kwasasa wamekaa KIDALALI sana na Msomi Sifuna kawashtukia mapema na vijana wa sasa WEPESI kuelewa mambo wataachiwa na NCCR AMA CUF mtaji ni watu.
  6. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanasiasa anayeitwa Sifuna ni nani?

    Sawasawa, ndio maana hivi sasa baada ya kupata support ya VIJANA WA KENYA (majirani zetu) amekuwa mwiba sana. But kwenye hilo la kutaka kusimamisha mgombea wako sahihi hawapaswi kuendelea kuwa lesso ya kina RUTO wakishafanya mambo yao ya hovyo. Awakamatie hivyo hivyo E.Sifuna yuko na energy ya...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Kamati ya Al Azhar na kuunda Qur’an standard (1924)

    Kwenye dini (zote) sisi WAUMINI (MAAMUMA) tunafundishwa kukariri na sio KUELEWA mambo kiundani wala KUHOJI utaskia unaambiwa UNAKUFURU ! Lakini Mungu huyo huyo ndiye aliyetupatia maarifa.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nauza korosho jumla na rejareja. Utamu na ubora ni wa hali ya juu

    Ahsante sana, kwa ufupi tu mimi binafsi ni Mwanasheria na Mkulima pia wa hili zao almost 10yrs sasa. HIZI KOROSHO, Tozo kila mahali, 1.pembejeo kwenye kuandaa mashamba mtihani, 2. Ukishazivuna Ukipeleka gulioni unakwatwa Kilo 1 ya gunia(lazima) 3. Ukishaziuza gulioni unakatwa not less than 200+...
  9. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanasiasa anayeitwa Sifuna ni nani?

    Uhuru huo na uwazi huo ukiona siku umefikia Tanzania basi elewa kwamba Yesu kasharudi.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nauza korosho jumla na rejareja. Utamu na ubora ni wa hali ya juu

    Tutafanya biashara hata mahakamani mimi nipo hapa Uwanja wa Taifa.
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanasiasa anayeitwa Sifuna ni nani?

    Unazungumzia hapa kwetu Tanzania? Hakuna uhuru huo siasa zetu zinatawala ndani ya nafsi na mioyo yetu sio wazi wazi
  12. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanasiasa anayeitwa Sifuna ni nani?

    Mbona kama unamfahamu vzr zaidi sema hutaki
  13. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanasiasa anayeitwa Sifuna ni nani?

    Zile siasa namna ile inapendeza sana zinaleta amsha amsha ya maendeleo na kuheshimiana baina ya watawala na raia.
  14. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Huyu mwanasiasa anayeitwa Sifuna ni nani?

    Sio hatari kwa watawale na muhimu kwa siasa za majirani ?
Back
Top Bottom