Hiki ndicho kitu cha fedheha kubwa katika karne yote ya 21 nchini mwetu. Yaani hawa watu hawastahili kuwa Bungeni period! Na tusingoje utabiri wa Nabii yeyote; Anayekumbatia uozo huu haijalishi awe CCM au CHADEMA etc ATALIPA KWA MACHOZI KAMA SI YEYE BASI NI WANAE AU WAJUKUU WAKE ! Maana Jinai...
UKIUKWAJI NA USHAMBA BUNGENI
UKIUKAJI:
Lukuvi, Mb na Mwenyekiti wa Kikao cha Bunge cha Uchaguzi wa Spika ameruhusu Wabunge kukiuka Taratibu za Uchaguzi na akatetea ukiukaji huo.
Mosi, wakati Mwenyekiti anasema kuwa hakuna tatizo Mpiga Kura kutoa fedha kwa Mgombea wakati wa kujieleza; anajuaje...
YOTE NAYAKUBALI.
Mimi kama Mbunge; HUJUMA namba 5 na SULUHISHO lake naunga mkono kwa 100%. Na endapo Spika na Naibu wake watashindwa kuchukua hatua hii haraka basi naandaa Hoja Binafsi tupate Tafsiri ya Sheria toka Mahakamani na pia tumekwishaanza ground work ya UWT nasi tuanze kutoka na...
Kumbe ndio maana WAHUSIKA katika Mei Mosi walikuwa WAFANYA-BIASHARA WAGENI. Na alipoongea na Wazee Dar, WAHUSIKA nao walikuwa WAFANYA-BIASHARA Wazee WAGENI. Hata Msafara wake Kenya nao walikuwa ni WAFANYA-BIASHARA WAGENI. Alipoongea Bungeni alikuwa anahutubia Wabunge WAFANYA-BIASHARA...
Dr. Muhongo au Mwakyembe ni appropriate match ya Rais wa awamu ya 5.
Hao wengine sijui akina Mwiguru, Makamba, si tu kwamba uwezo wao ni mdogo, maisha yao ya Kuongoza yana maswali kibao. Kuna watu wanapenda sana kujipendekeza lakini ungejua undani wao wa kiwango chao cha uadilifu au uzalendo...
Kutoweka kwa amani huchukuwa muda mfupi lakini kuirejesha sote tutalia hata tunaochekelea na kushabikia upuuzi huu. Hatua stahiki zichukuliwe haraka dhidi ya wale wanaotaka kuleta machafuko visiwani.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.