Habari zenu ndugu wana Simiyu wenzangu na vijana wenzangu, imani yangu kila mmoja anachapa kazi kwa maslahi mapana ya Taifa letu hili.
Leo nimewiwa nami kuzungumza kidogo kuhusiana na kinachoonekana kuwa ni changamoto kwa kijana mwenzetu CHIEFSON. Kijana mwenzetu na kiongozi mwenzetu ndani ya...
Kata ya luhungo katika Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro, imedhamilia kukabiliana na Hali ya uharibifu wa mazingira ulioonekana kuikumba kata hiyo ikiwa ni kiongozi mwa kata nne (4) zinazotegemewa kwa uhifadhi wa vyanzo vya maji vinavyopeleka maji yake katika bwawa la Mindu lililopo katika...
Miaka 25 iliyopita,Baba yangu aliwahi kuniuliza kuwa "ukiwa Mkubwa na ukisoma sana,unapenda uwe nani Mwanangu"?
Nilimjibu bila kuchelewa kuwa nataka niwe Mbunge.
Baba yangu aliniambia neno alilokuwa anapenda kulitamka kila mara nilipomfurahisha. "Very Good [emoji106]"..
Akahitimisha swali lake...
Mkuu wa wilaya ya Morogoro Mhe. Albert Msando amepongezwa kwa utendaji kazi wake kuwa kwa kipindi kifupi umeleta mabadiliko mazuri kiutawala na hasa katika kuwaletea maendeleo wananchi na wakazi wa wilaya ya Morogoro Mjini.
Hayo yamezungumzwa na Waheshimiwa Madiwani katika kikao Cha Baraza la...
As a leader in society and this country as a whole, when you are given the responsibility of leadership in helping Hon. President His responsibilities must be to strive to at least leave a mark for each time you fulfill your responsibilities, that mark should be a mark of development that can be...
Hakuna Sababu ya Halmashauri ya Manispaa ya Morogoro kutenga Budget kubwa ya kununua Grader ikiwa kuna Maeneo Ndani ya Manispaa ya Morogoro kuna uhitaji wa Maboresho ya zahanati, Madarasa na madawati, na pamoja na miundombinu mingine ikiwa ni pamoja na Maboma ya shule za sekondari, kuna huduma...
Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, ameshiriki kuwaongoza wakazi na watumishi wote wa Manispaa ya Morogoro katika Kuazimisha KUMBUKIZI za Miaka 59 ya uhuru wa Tanganyika na Zanzibar, ambapo KUMBUKIZI hizi zimehudhuriwa na washiriki kutoka Taasisi Mbalimbali hapa Nchini ikiwepo Jeshi la Mzinga kikosi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.