Recent content by homomorphism

  1. H

    JamiiForums Tanzania Toyota Coaster inauzwa

    22ml 0712801265
  2. H

    JamiiForums Tanzania Toyota Coaster inauzwa

    🚐 Inauzwa COASTER BOX – NDEFU Inauzwa Coaster Box ndefu, yenye engine 14B. Gari ipo barabarani na inaendelea kufanya kazi. Mteja atapewa namba ya dereva ili aweze kukagua gari likiwa kazini. 📞 Piga simu: 0712 801 265 ⚠️ HAITAJI DALALI.
  3. H

    JamiiForums Tanzania COSTA inauzwa

    Inauzwa:- COASTER BOX - NDEFU. ENGINE 14B Ipo Barabarani inafanyakazi, Nakupa namba ya Dereva unakagua Gari ikiwa Kazini. Piga:- 0712801265 Note: Sihitaji Dalali,
  4. H

    JamiiForums Tanzania COSTA inauzwa

    Ndio zenyewe kiongoz
  5. H

    JamiiForums Tanzania COSTA inauzwa

    Inauzwa:- COASTER BOX - NDEFU. ENGINE 14B Ipo Barabarani inafanyakazi, Nakupa namba ya Dereva unakagua Gari ikiwa Kazini. Piga:- 0712801265 Note: Sihitaji Dalali,
  6. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Toyota Passo

    Kapo fresh tu adi sasa kwakweli binafsi sijutii kukanunua.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa zaidi kuhusu Toyota Passo

    Nimepata Passo niponayo na natamba nayo 1290cc
  8. H

    JamiiForums Tanzania TANGAZO:Fundi umeme wa magari napatikana Dodoma

    Kuna passo apa inavipengele viwili 1. Emergency key ile ya kubonyeza ukiwa mbali na gari ili ku lock na ku unlock kunamda inafanya kazi wakati mwengine inagoma hali ya kua imeshawekwa betri jipya la rimoti yake. 2. O/D OFF inamwekua muda wote hata kama uki bonueza ki batan cha kuizima pale...
  9. H

    JamiiForums Tanzania Baadhi ya solutions za matatizo ya automatic gearboxes

    Ulitatua vip hii changamoto?
  10. H

    JamiiForums Tanzania Inahitajika Toyota Passo piston 4, 1290cc, engine K3-VE

    Unanitisha boss
  11. H

    JamiiForums Tanzania Inahitajika Toyota Passo piston 4, 1290cc, engine K3-VE

    Budget iliopo ni 4Milioni. Madalali naomba kuwaepuka katika hili.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kama bado unajitafuta toyota passo ndo usafiri sahihi

    Passo zipo vizuri aisee hasa ile ya cc1290
  13. H

    JamiiForums Tanzania Chuo gani kwa hapa kwetu Tanzania naweza soma Master's degree in sign language interpretation

    Baada na kuhitimu na kuitumikia ipasavyo Bachelor of Education Special Needs. Nahitaji kua mbobezi Zaid katika maswala ya ukalimani na lugha ya alama, naomba kufahamishwa ni chuo gani hapa nchini kinatoa kozi tajwa kwa level ya Masters
  14. H

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mashuka ya mtumba ya kulenga

    Shuklan sana kiongozi.
  15. H

    JamiiForums Tanzania Wapi nitapata mashuka ya mtumba ya kulenga

    Apo Tandika sokoni Mashuka ni muda wote au natakiwa kudamka allfajili. Pia vip kuhusu bei zao maana lengo ni kununua na kwenda kuuza.
Back
Top Bottom