Habari wakuu.
Naomba maoni yenu kwenye swala hili la ndoa.
Ukitilia maanani kuwa ndoa ifungwapo, yamini huliwa na mwanamke na aidha mwanamume kuwa watapendana na kuvumiliana katika kila hali.
Je, mwenza wako akianza kubadili tabia kwa kuonyesha dharau, majivuno na dalili zote za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.