Recent content by homegirl

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kumbukizi za Kilingeni Msata: Aina mbalimbali za hirizi na makafara

    Duh! Wakali wa hizi kazi 🙌. Anapatikana wapi?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Wakuu mwenye connection ya kampuni za ulinzi Zanzibar tafadhali

    Up 2 date ipo Kwerekwe hapo..ila malipo huwaga ni mwezi unaofuata tarehe 5
  3. H

    JamiiForums Tanzania 7 natural laws of business

    Tanzanian Dream naomba jina la muandishi wa kitabu cha Dark Path ulichokiongelea
  4. H

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

    Yote tisa.. nisaidie namba ya bibi yule sijui wa wapi.. mwenye kizizi DALALI MKUU
  5. H

    JamiiForums Tanzania Mkasa wa kweli, kuhusu visa vya kushangaza nilivyokutana navyo katika kazi za Udalali

    Me nna swali moja.. sasa maisha yalivyokupiga, why hukuwaza kuurudia udalali? Maana niliona ni simple zaidi kurudi kule huku ukijipanga kwa mengine DALALI MKUU
  6. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Absolutely [emoji817]. Ana utoto mwingi sana huyu kijana af anajiona yuko sawa tuu.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

    Ok.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

    Hivi uko Zanzibar sehemu gani?
  9. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    Hata mwanaume anayejifanya anakuchunga sana,, hii huwa ni njia yao ya kujidefend.
  10. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    [emoji23][emoji23] usichukulie mambo serious kiasi hicho boss
  11. H

    JamiiForums Tanzania Jinsi biashara ya Uber ilivyonikutanisha na dada huyu mrembo wa ajabu

    INSIDER MAN nmeenda YouTube kutafuta speech ya Iryn sijaiona mbona [emoji849][emoji27]
  12. H

    JamiiForums Tanzania Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

    Kijana kumbe ulifanikiwa huko Visiwani.. hongera sana
  13. H

    JamiiForums Tanzania Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

    Khee.. hii haihitaji pole hata.
  14. H

    JamiiForums Tanzania Fursa za kazi kwa vijana zilizopo Tanzania

    Pole sana boss. Unaumwa nini?
Back
Top Bottom