Recent content by homeboy12

  1. H

    JamiiForums Tanzania Hivi iPhone ni simu bora kama tunavoambiwa?

    Sawa
  2. H

    JamiiForums Tanzania Hivi iPhone ni simu bora kama tunavoambiwa?

    How?
  3. H

    JamiiForums Tanzania Hivi iPhone ni simu bora kama tunavoambiwa?

    Naomba ushauri tu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Hivi iPhone ni simu bora kama tunavoambiwa?

    Karibu tuwasikilize wazoefu
  5. H

    JamiiForums Tanzania Hivi iPhone ni simu bora kama tunavoambiwa?

    😁 Me zinashida gan?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Hivi iPhone ni simu bora kama tunavoambiwa?

    Wanaozitumia
  7. H

    JamiiForums Tanzania Hivi iPhone ni simu bora kama tunavoambiwa?

    Kiufupi nataka kununua simu sasahivi lakini niko njia panda. Ninunue iPhone au zingine hizi maana iPhone watu wanasema ni nzuri lakini mimi sijui. Naombeni uzoefu wenu jamani.
  8. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke

    Pole
  9. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke

    Asinizidi umri tu
  10. H

    JamiiForums Tanzania Nahitaji mwanamke

    Niko serious jamani nahitaji mwanamke ambaye atakuwa tayari kuwa na mm wakati wote wa maisha yangu kuhusu age mimi niko na 26 pia nimeajiriwa naahidi nitampenda sana Nitamuheshimu sana Nitamtunza pia
  11. H

    JamiiForums Tanzania Mtu ukiwa unalipwa 700k kwa mwezi, ni sawa kulipa kodi 100k?

    Nisubiri kwanza ?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mtu ukiwa unalipwa 700k kwa mwezi, ni sawa kulipa kodi 100k?

    Kwahyo ni sawa tu nisiogope🥹?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Mtu ukiwa unalipwa 700k kwa mwezi, ni sawa kulipa kodi 100k?

    Jamani naombeni msaada mtu ukiwa unalipwa 700k kwa mwezi ni sawa kulipa kodi 100k kwa mwezi na hujaoa umepanga chumba na sebule ?
  14. H

    JamiiForums Tanzania Napata wapi ramani ya kujenga nyumba?

    Nyumba ya vyumba vitatu
Back
Top Bottom