Recent content by Homba Linganjo

  1. H

    JamiiForums Tanzania Lugha gani inafaa kutumika katika mitaala yetu ya elimu,kuanzia awali hadi chuo kikuu. ??

    Soma sera ya Elimu na mafunzo ya ufundi ya mwaka 2014. Pia Awali sio primary bali in pre-primary.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Dr. Charles Mulokozi atiwa mbaroni kwa kutoa Vibali vya kusafirisha Tumbili 62 kwenda Albania

    Big up. Watu kama nyie ndiyo mtasaidia taifa badala ya taifa kuishi kwa majungu
  3. H

    JamiiForums Tanzania Maalim Seif hakushinda Uchaguzi wa Oktoba na analijua hilo

    Ni wakati sasa wa kusherekea ushindi kuna sababu gani ya kumsakama aliyesusa? Au kuna jambo lingine ambalo lipo nyuma ya pazia? Waachane walioshinda waendelee kujipongeza. Au ngoma zimechanika?
  4. H

    JamiiForums Tanzania Natafuta kiwanja Iringa Mjini

    Mtafute mtu mmoja anaitwa Abdallah yupo ofisi ya Halmashauri ya Manispaa Iringa atakusaifia
Back
Top Bottom