Analysis yako haiko katika reality. Tatizo kuu CCM Zanzibar imekataliwa from day one, haijawahi kushinda uchaguzi tokea 1995, kinachotokea ni Tanganyika kutumia mabavu, si suala la whether Amani kaleta muafaka au Fatma kasema nini. Hao kina Shein na wengine wote ni mateka , hawani hiyari, huo...