Recent content by Hofumoyoni

  1. H

    Nahitaji gari used

    Ni pm tuyajenge mkuu
  2. H

    Car4Sale Magari used Tanzania

    Chukua 6m
  3. H

    Car4Sale Pitia Uzi huu upate gari ya kipato chako

    Kama bado ipo chukua 6m
  4. H

    Comedian Samuel Asubiojo asema Comedy inalipa kuliko udaktari

    Basi watu wote wafanye comedy waachane na Taaluma hapo mambo ndiyo yatanoga, Kila mmoja atakuwa tajiri.
  5. H

    Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

    Kati ya kufukuzwa (dismissal) na kuchapwa viboko 20 ni kipi chenye nafuu kwa mtoto?
  6. H

    Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

    Inavyoonekana hata hajachapwa otherwise mleta habari angeshaonyesha uthibitisho
  7. H

    Mwanafunzi aumizwa vibaya baada ya kuchapwa fimbo 20 na walimu 6 Jangwani Sekondari

    Mtoa mada analalamikia adhabu ya mwanafunzi kuondolewa hostel na hivyo kulazimika kutokea nyumbani kama day scholar, suala la viboko ni kuchombeza na kuipa shida yake mashiko. Anachosahau ni kwamba walimu wameamua kuwalinda mabinti watiifu kwa kuwaondoa hostel vichwa maji.
  8. H

    Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

    Nilimaanisha meter 100. Kuchimba kwa mashine, eneo ni Kiwangwa Bagamoyo
  9. H

    Msaada: Conspiracy Theory kwa Kiswahili

    Nadharia tete
  10. H

    Gharama za kuchimba kisima kirefu cha urefu wa metre 200 chini ya ardhi

    Gharama za uchimbaji meter 100 ni kama sh ngapi
  11. H

    Tunachimba visima vya maji popote Tanzania

    Naomba kujua gharama za uchimbaji km kina ni meter 10.
  12. H

    Naomba taarifa kuhusu VOLVO XC 60

    Nauliza hili kwa kuwa shughuli zangu nyingi napita mashambani ambako barabara ni changamoto kubwa
  13. H

    Naomba taarifa kuhusu VOLVO XC 60

    Vipi kupitishwa rough road inastahimili au ni kwa ajili ya lami tu?
  14. H

    Naomba taarifa kuhusu VOLVO XC 60

    Sipendi kuamini kama jukwaa hili halina uelewa juu ya gari hili
Back
Top Bottom