Baadhi ya wafrika hawajui sheria ndiyo maana wakiona polisi na wanajeshi wanatetemeka.
Mimi naweza kuvaa sare za jeshi (siyo mwanajeshi) au za polisi (siyo polisi) nikaja kwako nikakuambia unahitajika kwenye kituo cha polisi. Bila kuhoji kitu chochote ukanifuata kumbe ni jambazi sugu.
Hata kama...
Jeshi la wananchi linaingia mtaani kusaka nguo zinazofanana na sare zao tena kwa raia ambaye hana hata bunduki?😂😂😂😂😁😁😁
Hiyo inaitwa kukosa kazi na kutaka umaarufu. Waende Sudan wakajipime nguvu.
Hiyo kazi ni ya polisi.
Watu wa nchi zilizoendelea wanatushangaa sana.
Jeshi wametua akili ya...
Kila mtu huwa ana kichaa cha mapenzi anapoingia kwenye mahusiano mapya (penzi jipya)
Watu wanaweza kukushauri kwa nia njema lkn ukawaona km wanakuharibia.
Baada ya kichaa kuisha, mpo kwenye uhalisia ndiyo unaanza kuwakumbuka watu wote waliokushauri.
Ni vizuri ila kumbuka
1. Uhusiano na mzazi...
Siku hiyo nilicheka na kusikitika sana. Mwanajeshi anavunja tofauli kwa kichwa.
Kwa zama hizi za teknolojia, watu wanavumbua silaha zitakazowezesha kujilinda na kushambulia kwa muda mfupi sana.
Jeshi la wananchi lina majukumu makubwa sana ya kulinda amani yaani litaaingia mtaani km kutakuwa na viashiria vya kuleta vita.
Polisi kazi yake kuhakikisha sheria inafuatwa ndiyo maana ina mahakama na magereza.
Jeshi linaingia mtaani kusaka sare za jeshi kwa raia ambaye hana bunduki?
Hiyo ni...
Watu wengi hawajui sheria ndiyo maana ukivaa nguo za polisi na siyo polisi unaweza kumfanyia chochote mtu na asikuulize.
Mfano.
Ukivaa sare za trafiki, ukasimama barabarani, unaweza kukusanya hela sana. Gari ikipita, piga mkono, kila gari lazima itoe 10,000.
Unaona umeandika hoja za maana kumbe ni matapishi matupu.
Kwa akili yako ndogo, jeshi linaingia mtaani kusaka sare za jeshi (nguo zinazofanana na sare zao) kwa raia ambaye hana hata bunduki? Unajua maana ya jeshi na heshima yake lakini? 😀😀😀😀😀😀😂😂
Kama hawana kazi, waende Sudan pale kuna vita...
Kuna bidhaa za kichina ukiziona unaweza kutoa machozi kwa uchungu. Hazina ubora kbsa lkn zimejaa hapa Tanzania, zinauzwa.
Kuna memory card, usb drive feki ambazo ukiweka nyimbo 10, zingine haziplay lkn zipo madukani. Wanakuuliza unataka original au feki lkn huwezi kuona TBS wanashughulika na...
Afrika wajinga wengi sana. Huyo atakuumiza akili.
Kusaka sare za jeshi, ni kazi ya polisi na siyo jeshi.
Ukiwa na bunduki kwanini wanakufuata polisi na siyo jeshi la wananchi?
Jwtz imekosa kazi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.