Recent content by Hodar

  1. H

    VIWANJA MITA 20 KWA 20 VIPO KISARAWE II KIGAMBONI

    Barabara iliyochongwa toka Mwapemba kwenda Kisarawe II. Mpira unaosambaza maji uko mita 150, umeme uko mita 200. Eneo ni karibu na shule ya Anna Makinda, kilometa 1 toka Mikwambe stendi.
  2. H

    VIWANJA MITA 20 KWA 20 VIPO KISARAWE II KIGAMBONI

    Viwanja mita 20 kwa 20 vinauzwa Kisarawe II Kigamboni vimepakana na barabara mpya iliyochongwa toka Kisarawe II kwenda Mwapemba, bei tsh 2,000,000/- tu, simu 0754295159. Unaweza kulipa nusu, ukamalizia kiasi kilichobaki ndani ya mwezi mmoja.
  3. H

    Je, ni haki Mapadre kuacha kuoa

    Mtu anayewapinga anaweza kutumia sababu kama yako hiyo japo ukweli ni kwamba unaweza ukakuta ni wanne miongoni mwa watu mia ndo wanafanya hivyo, hatutegemei kuwa wawe wasafi kama malaika, wao ni binadamu tena wametokea kwenye jamii hizi hizi tunazozijua. Lazima watakuwepo waliotaka kuwa...
  4. H

    Eti Kwanini Mapadre Hawaoi

    Mtoa posti hajauliza swali, sentensi yake inaonyesha anawashangaa hao watu.
  5. H

    Eti Kwanini Mapadre Hawaoi

    Huko ni kujikwaa tu ila nia iko pale pale
  6. H

    Eti Kwanini Mapadre Hawaoi

    Wanaopinga swala la mapdre kuacha kuoa nawashangaa sana je wamewahi kusoma haya maandiko yanayoelezea msimamo wa Yesu na Paulo katika vitabu hivi; Maneno ya Paulo Mtume: 1Wakorintho 7:1.8 "Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika,ni heri mwanaume asimguse mwanamke,8.Lakini nawaambia wale...
  7. H

    Je, ni haki Mapadre kuacha kuoa

    Wanaopinga swala la mapdre kuacha kuoa nawashangaa sana je wamewahi kusoma haya maandiko yanayoelezea msimamo wa Yesu na Paulo katika vitabu hivi; Maneno ya Paulo Mtume: 1Wakorintho 7:1.8 "Basi kwa habari ya mambo yale mliyoandika,ni heri mwanaume asimguse mwanamke,8.Lakini nawaambia wale...
  8. H

    Mradi wa Mchanga wa Madini Fungoni/Mwasonga

    Wananchi walikuwa na matumaini ya kuingia mkataba wa kulipwa hela kila baada ya miezi mitatu kwa ajili ya kukodishia ardhi yao kwa kampuni ya JACANA/Strandline Resources inayotaka kufanya mradi wao pale. MWEKEZAJI HUYU ANACHELEWESHWA NA VIONGOZI WA WILAYA YA KIGAMBONI. Hawa viongozi wanataka...
  9. H

    Mwekezaji wa madini ya mchanga anavyosumbuliwa Kigamboni

    Kampuni hii ya JACANA/Strandline Resources, imeshakopa hela benki ya kuwalipa wenye maeneo pale Mwasonga pamoja na kuendeshea mradi huo. Walishakubaliana na wananchi kwamba wanakodi yale maeneo kwa miaka minane, baada ya mradi wao kwisha, watarudisha hayo maeneo kwa wenyewe. Katika kipindi...
Back
Top Bottom