Recent content by Hobbit girl

  1. H

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Bandari nipo 'Neutral' kwa mtazamo ufuatao

    Nyongeza tuu Kuna mikataba mingapi imesainiwa na marais waliopita kuivunja ni shida? Sijui watu huwa wanajitoa ufahamu?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kwa hili la Bandari nipo 'Neutral' kwa mtazamo ufuatao

    Hongera umeandika vizuri na umechambua kwa weledi Ila penye kila neno Tanzania ungeweka Tanganyika ingependeza zaidi.Asante
  3. H

    JamiiForums Tanzania Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

    Kweli kabisaaa Tunahitaji Tanganyika huru
  4. H

    JamiiForums Tanzania Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

    We jini hebu kuwa na akili na maono ya kijini jini ya kuona mbali!! Tunazungumzia faida za muungano kwa Watanganyika unazijua? Km hii ya mama kuuza bandari ni moja ya hasara ya Muungano basi Watanganyika shime tuungane tuukate huu MUNGANO akauze bandari ya Zanzibar Over!
  5. H

    JamiiForums Tanzania Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

    Mimi nilifanya research kuhusu masuala ya elimu Unguja na Pemba Ilibidi nibadili jina niwe Fatuma au halima na wanasema kabisa “ wewe wa kwetuuu” ili upate ushirikiano na wanakuuliza kabisa,” sasa wewe mbara kwanini kutuhoji sisi kwani zanzibari hakuna watu wa kufanya kazi hii?” #KATAAMUUNGANO
  6. H

    JamiiForums Tanzania Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

    Na ardhi yetu aliyotangaza Mtanganyika Mwenzetu kuwa ni eneo la Serikali ya Zanzibar irudi pumbavu wahead Hatuutaki muungano huu wa kitapeli
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

    Uzuri Maxence Melo ni Mtanganyika sio Mtanzania[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Kataa Muungano ni Utapeli
  8. H

    JamiiForums Tanzania Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

    Nyie huko Wanzibari mliovamiwa liamsheni na huku Tanganyika tunaliamsha #Kataamuungamoni Utapeli
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

    #KATAAMUUNGANO,MUUNGANO UMEUA TANGANYIKANAMUUNGANONI UTAPELI #WE WANT THE FREEDOM OF TANGANYIKA
  10. H

    JamiiForums Tanzania Tuanzishe Kampeni ya #Kataa Muungano

    Naunga mkono hoja Wenzetu Wanzibari waliweza kuamsha vugu vugu hili la kuukataa Muungano mwaka 2001 km sikosei ila approach waliyotumia ni ile ya Mashekhe wa Uamsho na vugu vugu lile likawa batili. Sasa Watanganyika zamu yetu,kuukataa Muungano huu wa kihuni. Tunahitaji Tanganyika huru...
  11. H

    JamiiForums Tanzania Ilani ipi ya Uchaguzi inatumika kutekeleza issue hii nyeti?

    Mmmh!tuseme kweli nani anauwezo wa kumshtaki Rais hapa Tanzania? Hawa wateule wa Rais au malaika kutoka mbinguni wanaofata Katiba? Kwa hapa Tanzania ni ngumu sana na hakuna chombo cha kufanya hivyo kwa muundo huu wa uongozi wa wote kuwa wateuliwa wa Rais.
  12. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi/Wazazi wanakwepa kutoka out a Family?

    Kuna sehemu za kwenda na watoto,zenye michezo mizuri ya watoto na watoto wakarudi wamefurahi,binafsi huwa napenda kuwapa bata watoto wangu km mfuko ukiwa vizuri (water and world,fun city,Dar es salaam zoom tena gharama sio kubwaaa na watoto wanafurahi na kuwa na exposure na kujiamini) Wito...
  13. H

    JamiiForums Tanzania Wabongo mkija majuu au ughaibuni acheni unafiki, majungu na ukora mnaliabisha Taifa lenu

    Hii ni kweli kuna jamaa yeye yupo UK,akamsaidia kijana mwenzio wa kinondoni na akafika UK na akafikia kwake,baada ya ujua mitaa na akapata jimama la huko likawa linamtunza mana jamaa design mvivu,visa vikaanza akawa anasema kwa ndugu mambo mabaya kuhusu rafiki yake aliyemsaidia kufika UK, eti...
Back
Top Bottom