Kuna taarifa zinazotolewa na viongozi wa sias kuhusu mkuu wa shule ya iseke muungano kuhusu ubadhirifu lakini imekuja kubainika kwamba sio kweli ni kutokana na chuki,fitina na majungu yanayotokana na siasa mufilisi za viongozi wa kata kutoka upinzani dhidi yake.tunakemea kwa nguvu zote tabia...
ni michango kama ada,madawati nakadhalika lakini ujenzi wa majengo ya madarasa,maktaba,maabara na ofisi za waalimu nani atafanya zaidi ya wazazi wakishirikiana na serekali yao.
Hakika wewe ni baraka kutoka kwa mungu rais wa mioyo yetu sisi maskini kile kilio chetu cha muda mrefu sasa tumepata mtetezi tunakuunga mkono mheshimiwa rais wetu na yoyote atakaye kupinga sisi wananchi wako tuko tayari kukupigania mkombozi wetu mheshiwa dr john magufuli mungu akulinde na akupe...
Kwa muda mrefu mkuu huyu wa shule ya iseke muungano amekuwa katika mgogoro na diwani wa kata kutokana na juhudi mbalimbali anazofanya kuhakikisha shule inapata maendeleo ya kitaaluma amekuwa akijitahidi kuajiri waalimu wa muda kwa masomo ya sayansi ambayo yamekuwa hayana waalimu wa kutosha...
Naona wazushi washaanza prediction kama kawaida yao hivi nyie watu hamchoki kujadili ajira za ualimu mtafikiri nyie ndo serikali nataka niwaambie waalimu walioko vyuoni msiwe na wasiwasi sababu serikali ndio inaajiri na haijasema ajira za walimu wa masomo ya sanaa zimekwisha hivyo kama ajira...
haitoshi kuanzia tarehe 1 hadi 9 may acha utani bwana!kuna sehemu ndani ya nchi utasafiri zaidi ya siku mbili wakati mikoa yote imeunganishwa na barabara kuu please mwalimu acha visingizio nenda kazini ajira hii umeisotea kwa muda mrefu usiifanyie mzaha!
matokeo yake ni kutoajiriwa au kukosa ajira na Mimi natoa ushauri kwa wanafunzi kabla hujasomea fani yoyote jiulize hivi nataka kuwa nani nisomee nini na uwezo wangu ukoje kiakili na kifamilia usisome kwa kuiga na kutafuta status kwa kitu ambacho hqkina msingi.
hakuna mabadiliko katika walimu wa shule za msingi mabadiliko ni kwa ajili ya walimu wa sekondari hususani wa chuo cha sekomu tu na wale ambao majina yao hayajaonekana kwenye list ila waliopangiwa katika list ya kwanza mabadiliko hakuna watabaki na vituo vilevile vya mwanzo source tamisemi .
umefuatilia majina ya wanachuo wa sekomu walioko katika orodha ya mwaka huu yaani ni haohao walioko katika orodha ya mwaka jana kama unabisha fuatilia uone by the way acheni kuichafua serekali kwa mambo ya uongo kwa sababu huna ushahidi just guessing tu mwanzo ajira zimefutwa baadaye...
Chichimizi rafiki yangu acha uoga unapaswa kujua unapoweka majina katika list ili kuyachomoa ni lazima kufanya editing sasa unafikiri watafanyaje editing majina yakiwa hewani so vuteni subira mtajipa stress bure hlf baadaye majina yatolewe tena mr jumanne sagini hawezi kudanganya umma wa...
ni vizuri kusubiri taarifa rasmi msiwe na wasiwasi
sababu wanajua wanachokifanya kila jambo serekalini
lina utaratibu wa kulitolea taarifa na taarifa
iliyopo ni ya kufanya mabadiliko katika orodha
kuondoa walioingizwa kimakosa na kuweka
wanaohusika na ni kwa wahitimu wa sekomu tu na
hakuna...
ni vizuri kusubiri taarifa rasmi msiwe na wasiwasi sababu wanajua wanachokifanya kila jambo serekalini lina utaratibu wa kulitolea taarifa na taarifa iliyopo ni ya kufanya mabadiliko katika orodha kuondoa walioingizwa kimakosa na kuweka wanaohusika na ni kwa wahitimu wa sekomu tu na hakuna...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.