Recent content by ho chi minh

  1. H

    JamiiForums Tanzania FT | Coastal Union 0-1 Yanga SC | NBC premier league | CCM Mkwakwani | November 8, 2023

    Kafungwa Costal union anateseka wengine dunia hii
  2. H

    JamiiForums Tanzania Je, uandishi wa member wa JF unamtambulisha tabia yake?

    Maelezo marefu mno mpk watu wanashindwa kuamini Ukweli wako.
  3. H

    JamiiForums Tanzania Timu ambayo haijawahi kufika fainali mashindano yoyote makubwa kujilinganisha na timu yenye medali za CAF

    Maelezo marefu mno mpk watu wanashindwa kuamini Ukweli wako.
  4. H

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Timu inayotumia robo karne kufika makundi kumcheka anayefika robo fainal CL kila mwaka

    Uishie robo harafu ujiite Giant una rigo ngumu Sana mkuu
  5. H

    JamiiForums Tanzania FT: Simba 0-3 Raja Casablanca | CAF Champions League | Estadio Benjamin Mkapa | 18.02.2023

    Raha imejileta yenyewe kwa nini nisifurahi?
  6. H

    JamiiForums Tanzania Awamu hii dili za kununua magari ya Serikali (TOYOTA) na pikipiki zimekuwa nyingi sana. Wahindi watatumaliza

    Hata kwenye familia Baba asipokua na dira lazima pesa zitatosha kufanya yasiyo ya lazima.
  7. H

    JamiiForums Tanzania Tunakwama wapi? Malawian Airlines (ndege 2) Vs Air Tanzania (ndege 11)

    Kwa anayeomba mgawanyo wa ndege Tanganyika na Zanzibar elewa uchumi wa nchi huchangiwa na idadi ya watu, Idadi ya Watanganyika 59,800,000 na Zanzibar ni 1,890,000. Kwa Hizi ndege 11 Zanzibar itapata 3.21% ya ndege zote. Tungekua na ndege 100 Zanzibar ingepata 3. Kwa idadi hii haziganyiki hivyo...
  8. H

    JamiiForums Tanzania CCM yafanya Uteuzi wa Viongozi wa Sekretarieti ya Taifa Chongolo Katibu Mkuu Sophia Mjema Katibu wa NEC Itikadi & Uenezi akichukua mikoba ya Shaka

    Waislamu 8 na Wakristu 3 hongereni Sana maana ni kipindi. Lakini twaomba nafasi za uongozi Zanzibar zukaliwe pia na Watanganyika. Sent from my STK-L22 using JamiiForums mobile app
  9. H

    JamiiForums Tanzania Haiwezekani kivuko kilichoghraimu bil 7.3 kukarabatiwa kwa bil 4.4

    Safari hii watu wanakwiba mpaka mikopo ndio ujue tuna uongozi wa aina gani. Sent from my STK-L22 using JamiiForums mobile app
  10. H

    JamiiForums Tanzania Kero za Wabara (Tanganyika) wakiwa Zanzibar

    Huu muungano umetusababishia kupata viongozi wasio na uelewa wwt, wazembe, hawana uchungu na nchi, wapenda starehe, safari wasizojua kwa nini wanasafiri. Niieshie hapo kwanza.
  11. H

    JamiiForums Tanzania Kila la heri Morocco team

    Akiwa na Rais mwenyewe
  12. H

    JamiiForums Tanzania Hii timu si ya wananchi bali ni ya Matajiri!!

    Ukishatuma ngada tu kwisha Habari. Ni timu gani inayoendeshwa na kila mtu mradi awe mwananchi?
  13. H

    JamiiForums Tanzania Nape kuwa na akiba ya maneno, acha uswahili wewe kumbuka ni kiongozi wa Serikali

    Tangu lini huyo Nape alikua na akili?
  14. H

    JamiiForums Tanzania Rais Samia ni dhaifu kulingana na mambo yanavyokwenda?

    Ninayo bahati ya kumjua mtu kwa kumuangalia kichwa chake tu, Tangu mwanzo nilijua hakuna kitu hapo!
  15. H

    JamiiForums Tanzania FT: Azam FC 1-0 Simba SC | NBC League, 28/10/2022

    Guadiola mnene
Back
Top Bottom