Recent content by hmkuwe

  1. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanawake hizo ni shida zenu, sio zetu sisi wanaume

    Wanawake wengi siku hizi wametuingiza kwenye changamoto kubwa sana wanaume wa siku hizi.Tumekuwa tukihangaishwa sana maneno yao ambayo yanatopelekea kujiona wanyonge mbele yako Bro ukikutana na mwanamke anakuambia haumridhishi kitandani,bro wala usiwe mnyonge we endelea na mitikasi yako,jukumu...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Fanya sasa kabla hujachelewa na kujuta milele

    Natamani kuona siku Moja ukiandika mambo ya mahusiano ili tupate faraja sisi tunaoteswa na mapenzi
  3. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kilimo cha ufuta

    Nimeshaanda eneo tayari Ila silimi kwenye matatu
  4. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kilimo cha ufuta

    Nipo mkoa wa Mtwara
  5. H

    JamiiForums Tanzania Msaada kilimo cha ufuta

    Habari zenu wana JF Natamani kulima ufuta Ila shida yangu ni kwamba sina utaalamu nao,. Naomba msaada kwa yeyote mwenye utaalamu wa hili zao. Asanteni
  6. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaoongozana na wachezaji uwanjani wakati wa ufunguzi wa mechi wana kazi gani?

    Sio kila mtu anahitaji pesa kaka
  7. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaoongozana na wachezaji uwanjani wakati wa ufunguzi wa mechi wana kazi gani?

    shukrani sana Ila ningepata ufafanuzi zaidi ungenisaidia sana
  8. H

    JamiiForums Tanzania Vijana wanaoongozana na wachezaji uwanjani wakati wa ufunguzi wa mechi wana kazi gani?

    Jumapili njema kwa kila mmoja wetu. Ndugu zangu Nina jambo naomba kuuliza ukitazama mechi za ulaya kuna wale watoto ambao wakati timu zinaingia uwanjani wanakuwa wameongoza wa wachezaji hadi ndani ya pitch.nataka kujua wale watoto wanafanya kazi gani? Natanguliza shukrani za dhati kwenu
  9. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    Hakuna mafundisho ya Islam yanayosema mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kuridhi mali za baba yake.na ndio maana nikakuambia utoa aya ama hadithi inayothibitisha jambo hilo.kwenye.Kwa hiyo unachokisema ww sio mafundisho ya Islam,mafundisho ya Islam yanatokana na kitqbu cha Qurani pamoja na...
  10. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    Ungeleta hiyo Aya inayosema mtoto wa nje ya ndoa hana haki ya kuridhi mali ungekuw upo sawa au leta hiyo hadithi ambayo inathibitisha hayo madai yako
  11. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    Hiki alichokiandika hakina ukweli wowote ule isipokuwa tuna tabia ya kusema kitu ambacho hatuna uhakika nacho,Katika Dini ya Islam inamtambua mtoto mtoto alizaliwa nje ya mfumo wa taasisi ya ndoa na ana sawa Kama watoto waliozaliwa ktk mfumo wa ndoa
  12. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    Ni dini gani hiyo yenye sheria za kibaguzi?
  13. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kitanda hakizai haramu wewe ni wa nje ama ndani ya ndoa..nini haki zako kama mtoto wa nje ya ndoa kwa waislam na wakristo...

    mkuu hata wewe hujafanya research kabisa kwa mujibu wa Dini ya kiislam mtoto wa nje ana haki ya kuridhi mali za baba kama watoto wengine. Mtoto wa nje ana haki sawa na watoto ndoa
Back
Top Bottom