Serikalini kuna colleges and institutes ambazo zipo chini ya NACTE, Hizi vilikuwa vinachukua 3.5, mf DIT, ATC, DMI, etc..
Na kuna universities zilizo chini ya TCU, hzi ndo zilikuwa zinachukua kuanzia 3.8, ambao kwa sasa TCU nao pia wamepunguza mpaka 3.5
Sent using Jamii Forums mobile app