Teh, hiyo ndo akili ya vijana wengi wa Ukawa, walitabiri Zitto atafeli kisiasa, leo hii wameona bado yupo hot, hivi kwa mfano mlitaka Zitto atoke na Ukawa siku ile nje ili iwaje?, aliingia bungeni akiwa peke yake, hakuwa katika umoja ule, walimkataa na hawakumtaka, sasa angetoka nje ili...