Recent content by hkizwi

  1. hkizwi

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    asante kwa tiba ngoja na mm niijaribu hyo then ntaleta majibu fangasi wanansumbua sana nna madao meupe mgongoni,usoni,kichwani. fluconazole zmedunda antifangal za kupaka zmegoma naona hii ya septrin itanifaa.
  2. hkizwi

    Nitajuaje kama computer ina processor 2..??

    Right click icon iliyoandikwa my computer then shuka hadi kwenye properties utaiona processor imeandika 2ghz. Huwez kuhakikisha kama nu kweli 2gb bila ya kuwa na monitor so lazma wakutestie na wakuoneshe
  3. hkizwi

    Harmonize ft Diamond Platinumz - Bado

    Hahaha haya
  4. hkizwi

    Harmonize ft Diamond Platinumz - Bado

    Mmmmmh nuh na timbulo ndugu zako au
Back
Top Bottom