Recent content by hizakemi

  1. H

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Unazo Cooper pipes kwa ajiri ya kuunganishia AC
  2. H

    INAUZWA Jipatie bidhaa kutoka kwetu kwa bei nafuu, tupo Kariakoo

    Air condition unauzaje Sent using Jamii Forums mobile app
  3. H

    Natafuta mbolea ya kuku

    Ninayo nyingi. mimi ni mfugaji. nipo dsm mbezi beach. kama upo karibu na maeneo hayo nijulishe
  4. H

    Watalamu naomba msaada kuku wanapukutika

    hiyo ni ndui. uliwapa chanjo ya ndui.. kuku wenye nfui huwa wanashambuliwa na magonjwa mengimengi tu. kwa kuwa hawana kinga mwilini. wape antibacteria halafu chanjo. ila ni vzr upeleke kuku mgonjwa wakamuangalie kwa kumchinja uweze kujua ni magonjwa gani haswa.
  5. H

    Babu wa Loliondo "avuliwa nguo"

    Good point! I hope we could always think outside the box. Keep it up
Back
Top Bottom