Recent content by Hitilafu ya Mfumo

  1. H

    JamiiForums Tanzania Mauaji ya kutisha ya Oct29 ni matokeo ya hitilafu ya mfumo

    Mfumo unapopata hitilafu madhara kama mauaji ni jambo linalosubiriwa. Kama hitilafu isiporekebishwa tutegemee hatari zaidi
  2. H

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya vuguvugu la kuvunja Muungano

    Kwenye siasa, kosa kubwa si kukutana na changamoto; kosa ni kuona changamoto na kuamua kuiacha ikue. —Hitilafu Ya Mfumo
  3. H

    JamiiForums Tanzania Nawaunga mkono wazanzibar kuwafurusha watanganyika kutoka Zanzibar

    Waharibifu wa Mfumo. Walioleta hitilafu ndani ya mfumo waondolewe
  4. H

    JamiiForums Tanzania 7/7: Mfumo unaogopa nini? Je ni Hitilafu ya mfumo?

    Mfumo umepata hitilafu. Mfumo unapiga shot na kudhuru watu na wengine kuuawa. Mfumo ubadilishwe
  5. H

    JamiiForums Tanzania Yawezekana Waafrika sio watu na msinibishie🤣😂

    Mfumo wenye hitilafu huweza mgeuza binadamu kuonekana Nyani na Nyani kuonekana mtu. Hitilafu ya Mfumo
  6. H

    JamiiForums Tanzania 7/7: Mfumo unaogopa nini? Je ni Hitilafu ya mfumo?

    Salute Kila mfumo wenye kujiamini huona sauti za wananchi kama sehemu ya afya ya taifa. Lakini mfumo wenye hitilafu huona kila swali kama tishio, maandamano kama uadui, na kila ukosoaji kama uhaini. Uhuru wa kuandamana si zawadi ya serikali; ni sehemu ya haki ya wananchi kusikika. Tatizo...
  7. H

    JamiiForums Tanzania Nani yupo nyuma ya vuguvugu la kuvunja Muungano

    Kwenye siasa, kosa kubwa si kukutana na changamoto; kosa ni kuona changamoto na kuamua kuiacha ikue. Hitilafu Ya Mfumo
  8. H

    JamiiForums Tanzania Watanzania bara, ni lini mtaamka na kutambua kwamba mgogoro wa CCM dhidi ya CHADEMA ni wa kutengenezwa kuwagawa Watanzania bara?

    Kwenye siasa, kosa kubwa si kukutana na changamoto; kosa ni kuona changamoto na kuamua kuiacha ikue. Hitilafu Ya Mfumo
  9. H

    JamiiForums Tanzania Kwanini joto Malalamiko ya Muungano linapanda sasa?

    Kwenye siasa, kosa kubwa si kukutana na changamoto; kosa ni kuona changamoto na kuamua kuiacha ikue. Hitilafu Ya Mfumo
  10. H

    JamiiForums Tanzania Muungano wa Tanganyika na Zanzibar: Una faida gani na kwa manufaa ya nani?

    Kwenye siasa, kosa kubwa si kukutana na changamoto; kosa ni kuona changamoto na kuamua kuiacha ikue. Hitilafu Ya Mfumo
  11. H

    JamiiForums Tanzania Tamko la Serikali kuhusu Mjadala na upigaji kura wa Bunge la Ulaya kuhusu mpango wa ushirikiano kati ya ταnzania na UN Mwaka 2026

    Siasa zina sheria moja ya ajabu sana kadiri ufafanuzi unavyoongezeka, ndivyo maswali yanavyozidi kuongezeka. Nimesoma tamko lote. Kilichonivutia si walichokanusha, bali walichokubali bila kukusudia. Hitilafu Ya Mfumo
Back
Top Bottom