Recent content by Histon Gilbert

  1. H

    Wanaume wengi wanateswa na wanawake wa aina hii lakini wanaumia ndani kwa ndani matokeo yake kupelekea maafa

    Pole bro, lakin njia pekee ya kumbadilisha mwenzio ni kubadilika kama huwezi kupunguza mazoea na wanawake Kazini basi tegemea mabua, lakini pia sometimes mascilineer power inapunguza lead ya mwanaume kwenye familia control that🙂
  2. H

    Unahitaji shingapi ili usifanye kazi tena?

    Kama unachokifanya unakipenda basi hakuna pesa itakayoweza kuununua upendo kwasababu unachokifanya ni huduma hakuna atakae nunua huduma(utu). Hakuna pesa itakayo nunua kazi ninayoifanya.
  3. H

    SoC03 Mbegu ya uzalendo kwa watoto: zao la uwajibikaji na utawala bora kwa taifa

    Nimezaliwa mwaka 2013 katika wilaya ya Muleba na kulelewa na bibi yangu kipenzi, Bi.Khadija. Bi.Khadija alipenda sana kusoma na muda mwingi aliutumia kusoma vitabu vilivyoelezea utawala bora na namna babu zetu walivyo pigania uhuru lakini pia alipenda kusoma magazeti. Siku moja nikiwa nje...
Back
Top Bottom