Recent content by Hisopo

  1. Hisopo

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwahiyo nchi za magharibi sio wabaguzi????!!! Ni nchi gani ambazo watu weusi wanauawa kila kukicha kama nchi za magharibi?! Umeshasahu watu weusi wanavyo uawa na police wa marekani kila mwezi?! Hata sasa kuna kesi kibao zinaendelea marekani kwa mauaji ya wa marekani weusi!! Jana hujaiona...
  2. Hisopo

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Sasa dunia ni Tz peke yake?! Hivi China, India , Brazil, South Africa, Indonesia, Saudia, Argentina, Colombia, Nigeria, Egypt, Mexico,Chile, Peru, Algeria, Korea ,Vietnam,Philippine, Bahrain, Emirates, Qatar,Iran, Pakistan, and so on and so on, umeshazisikia zikiiwekea vikwazo Urusi?! Kwahiyo...
  3. Hisopo

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Kwanza mkuu achana na porojo za magharibi (propaganda) kuwa "urusi imewekewa vikwazo na DUNIA YOTE"" Hiyo dunia yote ni ipi?! Hizi ni propaganda dhaifu sana mkuu, urusi amewekewa vikwazo na nchi za magharibi ambazo hazichukui hata nusu ya eneo la dunia, yaani ulaya magharibi na amerika...
  4. Hisopo

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Wakati ule Urusi (USSR) yailiyokuwa SOVIET ilipopeleka Mabomu ya kinyuklia kule CUBA kwa Fidel Castro, Marekani ikapeleka manowari, za kivita na nyambizi kutishia kuivamia CUBA kijeshi kama Urusi (SOVIET) haitatoa mabomu yake ya kiatomic pale Cuba kwani Cuba haikuwa nchi huru "sovereignty" kama...
  5. Hisopo

    JamiiForums Tanzania Hellow!

    Pamoja mkuu Me too
  6. Hisopo

    JamiiForums Tanzania Hellow!

    Asante kiongozi,
  7. Hisopo

    JamiiForums Tanzania Hellow!

    Mkuu, elimu naamini nitachota japo kidogo , maana wanasema "hakuna upumbavu ulio upumbavu mtupu, kila kwenye upumbavu kuna hekima ambayo mwenye hekima anaweza kuiona!
  8. Hisopo

    JamiiForums Tanzania Hellow!

    Aha ahaaa! nitajitahidi kuwa mwelewa japo kidogo, Lakini wakati mwingine pia very fun,
  9. Hisopo

    JamiiForums Tanzania Hellow!

    Shukrani sana boss wangu,
  10. Hisopo

    JamiiForums Tanzania Hellow!

    Naam! majoto Bila shaka mkuu, Hisopo; ni mmea fulani kama mti wa mwanzi, ulitumika sana mashariki ya kati enzi hizo katika mambo ya kidini, hasa kusafisha na kutakasa watu na vitu kiimani. Referred: Hesopo ni mti : 1wafalme 4:33 "akanena habari za mti , tangu Mwerezi ulioko Lebanoni...
  11. Hisopo

    JamiiForums Tanzania Hellow!

    Sanaaa mkuu, napenda sana watoto! Babies are pretty cute indeed!
  12. Hisopo

    JamiiForums Tanzania Hellow!

    Okey, already done!
  13. Hisopo

    JamiiForums Tanzania Hellow!

    Ahahaaa! Huyo kwenye Dp ni "mtoto tu!" Sidhani kama ana athiri chochote mkuu! Lakini kwa heshima yako nitabadiri mkuu!
  14. Hisopo

    JamiiForums Tanzania Hellow!

    Shukrani boss
Back
Top Bottom