Recent content by Hiraay

  1. H

    JamiiForums Tanzania Tanzia: Naibu Meya CHADEMA Moshi Mjini afriki dunia

    RIP Kamanda Remoy.
  2. H

    JamiiForums Tanzania Sitakaa nione fahari kusifiwa na Chama cha Mapinduzi

    Huyu alitaka utumie majina kama: Mwigulu Madelu Nchemba Nape Nnauye Tundu Lisu Hapendi ya January Makamba ...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Katiba ya CCM haina suala la Ukomo wa muda wa uongozi.

    Ha! ha! ha! ... Quest means business.......
  4. H

    JamiiForums Tanzania Ni jeuri ama ulevi wa Madaraka kwa M/kiti wa Mkoa wa Geita.

    Huyo M/kiti anaweweseka baada ya kuona dhoruba ya M4C inavyotikisa kanda hiyo. Big up Kamanda Mawazo
  5. H

    JamiiForums Tanzania Pamoja na propaganda zake kwa vyama pinzani ni bora tuchague jiwe kuliko CCM 2015

    CCM kinajiua chenyewe wala upinzani usihusishwe. Wanaokimaliza ni waroho wao wa madaraka wanaojiandalia makambi kila kuchao na baadhi ni hawa: Lowasa Wassira Membe Sita Makamba Ngeleja Mwigulu Komba Mwakyembe Sumaye Nahodha Magufuli Migiro Nchimbi Muhongo ... ...
  6. H

    JamiiForums Tanzania CHADEMA mmekuwaje tena???

    Join Date : 25th October 2013 Posts : 3 Rep Power : 0 Likes Received1 Likes Given 0 Huyu hapa msukule mwingine ambaye ameajiriwa juzi. Mzee Tupatupa hukukosea uliposema:- " "CHADEMA niwaambie, kuna watu hapa Lumumba na Ofisi nyingine wamenunuliwa 'Ipads' na 'Iphones' kupambana...
  7. H

    JamiiForums Tanzania KUHUSU Katiba ya CHADEMA, ufafanuzi huu hapa; watoa tuhuma hawana hoja, walete nyaraka

    Makenge ya Lumumba toeni mapovu mpaka mcoke lakini CHADEMA DAIMA
  8. H

    JamiiForums Tanzania Ufisadi wa Kutisha Kamati ya Bunge ya Bajeti

    Mu-Israeli umeiona hiyo???!!!
  9. H

    JamiiForums Tanzania Tanzania haijaolewa EAC - Samwel Sitta

    Kambi za kuwania urais 2015 itawamaliza maccm
  10. H

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Tumegundua njama za kuivuruga CHADEMA

    Umesema vizuri sana GAMBA. Haya wanayoyafanya CCM inawafanya waTZ wengi kukichukia chama hiki cha mafisadi. Maccm yanadhani wamepatia pa kutokea, kumbe wamepatikana
  11. H

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa: Tumegundua njama za kuivuruga CHADEMA

    Hili gazeti limemaliza kifungo au liko mtandaoni?
  12. H

    JamiiForums Tanzania CCM inachukiwa kiasi hiki?

    Mi wanyalu siwaamini kabisa. Ni manazi ya ccm - ona uchaguzi wa madiwani majuzi (16/6) wilayani kilolo kata ya ng'ang'awe wamewapa maccm kura 686 na cdm ikaambulia kura 217. Fanya utafiti kabla kuja humu jf
  13. H

    JamiiForums Tanzania NAPE: Ziara za Mwigulu Marekani na Uingereza sio za chama

    Nashangaa hawajitokezi!!! Hivi anayewalipa ni Nape au Mwigulu?
  14. H

    JamiiForums Tanzania Star TV na Jambo leo: Marufuku ya waziri wa habari imeisha?!

    Hivyo vyombo ni vya CCM
Back
Top Bottom