Recent content by hiplip

  1. H

    JamiiForums Tanzania Ubadhirifu wa fedha za Mradi wa world bank wa HEET

    Habari zenu wanajamvi, Mimi nina kero au dukuduku kubwa kuhusu pesa za mradi wa HEET zinazotolewa na world bank. Pesa hizi zilikuja maalum kwa ajili ya kujenga majengo mapya na vifaa vya kisasa ndani ya vyuo vikuu pamoja na kusomesha staffs wake. Lakini kumekuwa na ubadhirifu mkubwa sana juu...
  2. H

    JamiiForums Tanzania Kuna anayeijua kampuni ya Salvation farm?

    Hiyo kampuni walifilisika So wakawa wanawazungusha wateja wake kwa kutumia pesa za wateja wapya kuwalipa wa zamani But so far, imekufa na hawana hayo mashamba waliyosema wanayo.. mm nilikomaa nao nikasema tawapeleka takukuru Ilikuwa December 2021 nilichukua kama wiki moja hivi kupewa mazao Na ni...
  3. H

    JamiiForums Tanzania Kuna anayeijua kampuni ya Salvation farm?

    Mimi naifahamu na nilishawekezaga huko, yaani no changamoto sana kupata mazao au fedha. Mimi nilifunga safari hadi mbinga kufatilia mazao yangu, nilipata gunia zangu 10 za maharage lkn kwa kuteseka sana
  4. H

    JamiiForums Tanzania Msaada : Ardhi university admission letter.

    poa,ngoja nikuchekie hlf takuambia
  5. H

    JamiiForums Tanzania Msaada : Ardhi university admission letter.

    nenda kwnye school ya kozi yko, then utakuta list nzma hapo! download tena, hlf uangalie km itakubali. me mwnywe nmefanya hvyo
  6. H

    JamiiForums Tanzania SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    we ndo umekurupuka nadhan, angalia tangu mjadala ulipoanza ndo utagundua kat yngu na wew nan ndo kakurupuka. poleeee
  7. H

    JamiiForums Tanzania SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    yani nyie wote mnaotoa matusi mnatakiwa mtubu kwa mungu kwa dhambi mnazochuma, mnakaa na kuanza kujadili imani za watu? ingekua ni waislam msingethubutu ht kdgo kutoa matusi mtoayo,ila MUNGU atafanya kaz yake, sis wasabato c watu wa visasi na matusi
  8. H

    JamiiForums Tanzania SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    hayo matusi na kejeli n nn kama sio dhihaka
  9. H

    JamiiForums Tanzania SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    me nawashangaa nyote mnaokashfu na kudhihaki imani za watu, jarbuni kumwogopa mungu kwa kuheshimu imani za wengne, kwani hata m2kane vp bado imani zetu haztabadilika. zaidi mtakua mnajichumia dhambi tu kwa kumdhihak roho mtakatifu.
  10. H

    JamiiForums Tanzania SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    huo utakua ni udini na ni sheria ipi inamzuia mtu kuabudu. hata hao wa din nyngne wanaosoma chuo cha wasabato nan anawalazimisha kufanya mitihan jpili, wote hueshimiwa kulingana na imani zao.na MUNGU akusamehe kwa kauli za dharau na kejeli unazotoa
  11. H

    JamiiForums Tanzania SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    yani we unashangaza, uhuru wa dini upo nchni na ndo mana wenzetu wa jpl wanauhuru kuabudu watakavyo, na hata wasabato pia wana uhuru wa kuabudu kulingana na imani yao, kwa wasabato wote kufanya biashara siku ya sabato ni dhambi. usinitukane tafadhali
  12. H

    JamiiForums Tanzania SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    c umeona unarudi palepale kumbuka yesu alitoa msaada kwa kuponya siku ya sabato, vivyo hvyo hata leo, umeuguliwa na ndugu au jamaa waweza kumpeleka hospitali siku ya sabato kwani co kazi bali ni msaada. hlf kaka samahani me sio boya
  13. H

    JamiiForums Tanzania SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    kasome kutoka 20, na ndipo uongee tna haya maneno. na MUNGU akupe hekima yake, matusi,kejeli,dharau, havitakufikisha popote.
  14. H

    JamiiForums Tanzania SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    maswali gani ambyo yananifanya nalalama? UKWELI UTABAKI KUWA UKWELI TU, na pia huruma yako haitabadlsha ukweli wa mambo...
  15. H

    JamiiForums Tanzania SABATO SABATO SABATO wanafunzi 8 wa teku wafukuzwa baada ya kukaidi kufanya mtihani jumamosi!

    mimi najibu kulingana na hoja na maswali yanayotolewa. na hilo suala si geni kwangu.
Back
Top Bottom