Recent content by Hilipendo

  1. Hilipendo

    JamiiForums Tanzania Huyu Jenista Mhagama akitimiza anayosema kufukuza wageni nitamheshimu rasmi

    Sector binafsi zimenogewa na huu mchezo. Mheshimiwa asisahau kupita Regional Air Services ya Arusha. Pilots wageni, Engineers wageni, Accounts department yote wageni,Ops wageni. ..
  2. Hilipendo

    JamiiForums Tanzania Lowassa: Mkinichagua 25 Oktoba, Jumatatu inayofuata Ferry itakuwa bure bila nauli

    pigo kuu lumumba
  3. Hilipendo

    JamiiForums Tanzania Serikali ichukue hatua za haraka kwa uongozi wa Regional Air/Air Kenya

    Nguzo yao kubwa ambayo wamekuwa wakijitapa nayo ni kesi kucheleweshwa kwa sababu ya hongo. ..Wanawaza kizamani sana, eti kesi zitapelekwa mbele kama za East Africa Community. ... Hawajui kwamba zama zile zimepitwa na wakati. .. Haki ya mtu haipotei bure...
  4. Hilipendo

    JamiiForums Tanzania Serikali ichukue hatua za haraka kwa uongozi wa Regional Air/Air Kenya

    Waliokuwa wafanyakazi wa Regional Air Services, kupitia kwa wanasheria wao, wameanza rasmi mchakato wa kudai haki/fidia zao Kwa kufukuzwa kazi kihuni. Wafanyakazi wana imani watalipwa kwa sababu Bwana Hamza Mwapachu na Mhasibu wake walisema kwamba Kampuni ina hela na...
  5. Hilipendo

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Zitto Kabwe - Julai 04, 2015 na Orodha ya walioweka fedha Uswisi

    Kiongozi mkuu wa ACT Zitto Zubery Kabwe leo atafanya mkutano mkubwa sana wa hadhara hapa viwanja vya Mwembeyanga. Watu wana shauku kubwa na mkutano huu kutokana na ukweli wa taarifa kwamba Kiongozi mkuu aliahidi kuwataja kwa majina watu wote walioficha fedha kwenye mabenki ya Uswiss. Tumepiga...
  6. Hilipendo

    JamiiForums Tanzania Habib Mchange: ACT-Wazalendo tutaidhibiti vikali CHADEMA

    Katibu wa mipango na mikakati wa ACT-Wazalendo Habib Mchange amekionya CHADEMA kwamba huenda kikafutika katika historia endapo kama wataendelea kuifuatafuata ACT-Wazalendo. Akizungumza na wanahabari makao makuu DSM Mchange amesema CHADEMA wamekuwa wakikodi watu kwenda kuwazomea kila wanakopita...
  7. Hilipendo

    JamiiForums Tanzania Mwajiri wa Regional Air akimbia wafanyakazi

    Ungewaona Staff leo ungewaonea huruma. Watanzania wananyanyaswa Nchini kwao na Mtanzania mwenzao.... Tatizo ni hao directors kutoa uongozi wa juu kwa huyo boss wa Regional. .IInaonekana jamaa hana pia washauri wazuri wa maswala ya kisheria. ... kwa mwendo huu, hatutashangaa kusikia...
  8. Hilipendo

    JamiiForums Tanzania Mwajiri wa Regional Air akimbia wafanyakazi

    Kweli hapa vyombo husika vya sheria viingilie kati swala hili kwa sababu wafanyakazi nilioongea nao wanasema huyo Hamza Bakari Mwapachu ana kiburi na dharau mno. .Walisikia akiwaambia waandishi wa habari, kwamba wanajua yeye ni nani? inaonekana anatumia nguvu ya password ya juu pasipo...
  9. Hilipendo

    JamiiForums Tanzania Wakuu wa shule Arusha wa wamdai Mtia nia Ubunge CCM-Arusha

    Hao waalimu wakazushushie hasira zao kwenye sanduku la kura!
  10. Hilipendo

    JamiiForums Tanzania CCM wakimpitisha Lowassa, UKAWA wanafanya sherehe asubuhi kabla ya kampeni

    Lowasa kwa ufisadi wake, akipitishwa njia Ni nyeupe kwa ukawa.
  11. Hilipendo

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kinana, Nape awageuza CCM "Toys"

    Huyu Kinana hadi aondoka Arusha, atakuwa amekausha akaunti ya Chama!
  12. Hilipendo

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kinana, Nape awageuza CCM "Toys"

    Kazi mojawapo kwenye job descriptions alizopewa Kinana ambazo ni kupata viongozi kutoka CHADEMA, imeshamshinda. Tena yeye mwenyewe Kwa kujua au kutojua, anakiri kushindwa hayo majukumu aliyopewa na maCCM wenzake. Kwa watu wanaofuatilia ziara za Kinana mikoani akijaribu kuinasua CCM chumba...
  13. Hilipendo

    JamiiForums Tanzania Mwinjilisti Mosses Malugu: Viongozi walioingia Madarakani kwa nguvu za giza

    Utawala wa kuzimu kabisa huu!
  14. Hilipendo

    JamiiForums Tanzania Lema ahaha kuikwamisha ziara ya kinana Arusha

    www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/819130-arusha-kinana-akosa-miradi-ya-ccm-ya-kuzindua-arusha-7.html
  15. Hilipendo

    JamiiForums Tanzania Lema ahaha kuikwamisha ziara ya kinana Arusha

    www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/819130-arusha-kinana-akosa-miradi-ya-ccm-ya-kuzindua-arusha-7.html
Back
Top Bottom