katibu mkuu wa ccm taifa ndugu Abrahamani Kinana ambaye ameanza ziara ya siku tisa mkoa wa Arusha kukagua uhai wa cha na kukagua miradi ya maendeleo ambao ni utekelezaji wa ilani ya uchaguzi ya ccm
lema amekosa kabisa mwelekeo baada ya kutambua uwezo mkubwa wa kinana na jinsi jamii ya wana Arusha inavyomkubali
ilikujihami na kimbunga hicho lema ameanza kuwashawishi baadhi ya vijana kwaajili ya kuzomea na kushika mabango kwenye ziara hiyo
katika kuweweseka huko lema amesahau kuwa aliwahi waambia watu wa Arusha kuwa yeye hata leta maendeleo bali atawafundisha ujasiri tuu
ila leo anatoka tena na ngonjera kuwa kajenga hospital.kata ya daraja mbili alivyo mwongo anashindwa kuelewa kuwa ile hospital ilijengwa na wafadhili waliyo letwa na marehemu diwani msangi
lema ulipewa ambulance kule uingereza ukaja kuiuza pale kwa Arusha Art
trekta ya wajane umeuza nayo
unaponyolewa unatakiwa kutulia Lema huna uwezo wa kuzuia ziara ya kinana atakuja Arusha jumamosi na miradi ya maendeleo itazinduliwa bila shida yoyote
kumbuka mbio za mwenge ulisema kuwa hospital ya daraja mbili haita zinduliwa na mwenge uli gonga mwamba na mwenge ulizindua
lema njoo tar 20 na 21 ushuhudie ziara ya kukagua miradi ya maendeleo iliyotekelezwa na ccm