Recent content by Hildafranc

  1. Hildafranc

    Msaada wa tiba ya maumivu ya kiuno

    Mkuu kwa hiyo unatakiwa kupaka kwanza hiyo Dawa halafu ndo unalalia hilo taulo lenye Maji moto au unalalia kwanza taulo then ndo unapaka Dawa?
  2. Hildafranc

    Nini hasa chanzo na tiba ya ugonjwa Arthritis?

    Heshima kwenu wakuu, Nina ndugu yangu anasumbuliwa na ugonjwa wa Arthritis. Mwenye kujua tiba mbadala ya ugonjwa huu naomba anijuze plz! Natanguliza shukrani!
  3. Hildafranc

    Natafuta tiba ya Depression

    Pole sn mkuu,tafuta ma psychologist wakusaidie. Hivi depression inaweza sababisha maumivu ya viungo vya mwili? Wataamu mnisaidie hapo
  4. Hildafranc

    Ushauri: Nikifanya mapenzi presha hupanda sana, nini tatazo?

    Mkuu ,Normal pressure ni 115/70 mpaka 130/90
  5. Hildafranc

    Kwanini Hamisi Kigwangalla anapata shida kueleweka kwenye jamii?

    Ni kweli kbsaa, hata Mwanamke aliyeolewa na mume mwenye akili nyingi sn,mke huwa inampa tabu kumwelewa mume!
  6. Hildafranc

    Asali na kisukari

    Asanteni wakuu kwa Maelezo yenu,nitayafanyia Kazi!
  7. Hildafranc

    Asali na kisukari

    Kwa vipi mkuu?
  8. Hildafranc

    Asali na kisukari

    Wakuu nawasubiri hapa, mkuje!
  9. Hildafranc

    Asali na kisukari

    Wakuu heshima kwenu, Hivi mgonjwa wa Kisukari anaruhusiwa kutumia asali? Naomba kujuzwa tafadhali.
  10. Hildafranc

    Matumizi ya chumvi

    Heshima kwenu wakuu,naomba kufahamishwa kama CHUMVI YA MAWE inafaa kutumiwa na mtu mwenye shinikizo la damu badala ya ile ya kawaida tunayotumia majumbani.
  11. Hildafranc

    inawezekana kweli mtu atoe mbegu za kiume na zisionyeshe chochote kile?

    Mkuu Mimi nakushauri ukapime tena hospital nyingne,,upimaji wa sperm unahitaji umakini wa hali ya juu
  12. Hildafranc

    Natafuta flem ya kupanga

    Heshima kwenu wakuu,, ,natafuta Flem kwa ajili ya kuuza Nguo na urembo, kati ya maeneo haya,sinza,tabata,Ubungo, yeyote mwenye kujuwa,naomba anijuze tafadhali.iwe barabarani. Natanguliza shukrani zangu!
  13. Hildafranc

    Bei ya mitumba grade A Tanzania shilingi ngapi?

    Tupo wengi tunaotakakujuwa mkuu,aje hapa atuambie akitoka kuku PM
Back
Top Bottom