inawezekana kweli mtu atoe mbegu za kiume na zisionyeshe chochote kile?

mchonga

JF-Expert Member
Dec 3, 2006
1,233
248
Msaada tutani,

Hivi inawezekana kweli mtu atoe mbegu za kiume na zisionyeshe chochote kile? I mean Zero sperms! If is true why?
 
Msaada tutani
Hv inawezekana kweli mtu atoe mbegu Za kiume na zisionyeshe chochote kile? I mean Zero sperms! If is true why?
Ndiyo kabisa...clinical dx name yake ni Azoospermia hii ni kwasababu ya either inability of sperm mobility(kwa kitaalam wanasema inability of spermiation) or inability of testis to produce sperms kwasababu ya genetic disorders (hermaphroditism etc).

Hata hivyo mkuu watu wanaweza changanya azoospermia na oligospermia(mbegu zipo ila kwa count chini ya 20milion/unit)
 
Nilishangazwa na Kauli ya Dr wangu, Mm na partner wangu tu natafuta mtoto wetu Mm na yeye. Ktk mahusihano yangu ya nyuma Nina watoto watatu na mwenzangu Ana wawili ktk mahusihano yake!

Sasa kwa kuwa nafanya kazi nje ya nchi na yeye Tanzania, tuna limited time ya kukutana!! Na kila tukikutana hai workout!! Ndipo nilipoamua kwenda clinic moja na kupeleka sample!! Nikaelezwa kuwa hakuna chochote kile.

Nimeshangaaa sana
 
Pole sana,

sasa lazima doctor alikuambia what's up...kama nlivyokuambia hapo juu...azoospermia inaweza ikawa due to blockage of duct diferens au testis hazizalishi sperms.

Mimi nakushauri urudi hospital umueleze doc akifanyie testis biospy au FNA mapping, kama testis hazina shida na zinatoa mbegu vizuri bac itakua una azoospermia due to blockage na hii inarekebika kwa microsugery.

Kama ni tatizo la testis kutokua na uwezo wa kutoa mbegu basi ni tatizo kubwa ambalo doc mwenyewe atajua namna ya kukushauri kwa mara nyingi huwa wanatumia IVF kupata watoto

note: kama unavuta sigara,unatumia pombe,unaumri zaidi ya miaka 60,unauzito kupindukia ni vizuri ukamueleza daktari kwa hvyo visivyoonekana.

pole saana mkuu get well soon
 
Nilishangazwa na Kauli ya Dr wangu, Mm na partner wangu tu natafuta mtoto wetu Mm na yeye
Ktk mahusihano yangu ya nyuma Nina watoto watatu na mwenzangu Ana wawili ktk mahusihano yake!!
Sasa kwa kuwa nafanya kazi nje ya nchi na yeye Tanzania, tuna limited time ya kukutana!! Na kila tukikutana hai workout!! Ndipo nilipoamua kwenda clinic moja na kupeleka sample!! Nikaelezwa kuwa hakuna chochote kile
Nimeshangaaa sana
Kitanda hakizai haram
 
Msaada tutani
Hv inawezekana kweli mtu atoe mbegu Za kiume na zisionyeshe chochote kile? I mean Zero sperms! If is true why?

Yes, inawezekana iwapo huyo mwanamme kafanya operation iitwayo 'Vasectomy.' Hii operation hufanywa iwapo huyo mwanamme hataki kubambikiwa watoto haramu na mademu viruka njia/wasiojitambua kwani hakuna mtu anayependa kulea mtoto wa wanamme mwingine.
 
Msaada tutani
Hv inawezekana kweli mtu atoe mbegu Za kiume na zisionyeshe chochote kile? I mean Zero sperms! If is true why?
Kwanza tutofautishe mbegu za kiume na shahawa.

Shahawa ni semen kibebeo cha cha mbegu za kiume

Na mbegu za kiume ni spermatozoa ni ile mbegu inayotungisha mimba yai la mwanamke

Sasa kujibu swali lako ni kuwa kuna wanaume wachache washindwa kuzalisha mbegu kabisa za kiume.
 
Pole saanaa
sasa lazima doctor alikuambia what's up...kama nlivyokuambia hapo juu...azoospermia inaweza ikawa due to blockage of duct diferens au testis hazizalishi sperms...
Ahahahaaa kweli kila mtu na fani yake.... YAANI NDO YALE YALE YA NENO FILE... Mhandisi ukimwambia lete ataleta TUPA, wakati neno hilo hilo file kwa watu wa usekretary au wengine watakuletea FOLDER....
 
Nilishangazwa na Kauli ya Dr wangu, Mm na partner wangu tu natafuta mtoto wetu Mm na yeye
Ktk mahusihano yangu ya nyuma Nina watoto watatu na mwenzangu Ana wawili ktk mahusihano yake!!
Sasa kwa kuwa nafanya kazi nje ya nchi na yeye Tanzania, tuna limited time ya kukutana!! Na kila tukikutana hai workout!! Ndipo nilipoamua kwenda clinic moja na kupeleka sample!! Nikaelezwa kuwa hakuna chochote kile
Nimeshangaaa sana
 
Nilishangazwa na Kauli ya Dr wangu, Mm na partner wangu tu natafuta mtoto wetu Mm na yeye
Ktk mahusihano yangu ya nyuma Nina watoto watatu na mwenzangu Ana wawili ktk mahusihano yake!!
Sasa kwa kuwa nafanya kazi nje ya nchi na yeye Tanzania, tuna limited time ya kukutana!! Na kila tukikutana hai workout!! Ndipo nilipoamua kwenda clinic moja na kupeleka sample!! Nikaelezwa kuwa hakuna chochote kile
Nimeshangaaa sana

Mkuu Mimi nakushauri ukapime tena hospital nyingne,,upimaji wa sperm unahitaji umakini wa hali ya juu
 
Kwanza tutofautishe mbegu za kiume na shahawa.

Shahawa ni semen kibebeo cha cha mbegu za kiume

Na mbegu za kiume ni spermatozoa ni ile mbegu inayotungisha mimba yai la mwanamke

Sasa kujibu swali lako ni kuwa kuna wanaume wachache washindwa kuzalisha mbegu kabisa za kiume.
sababu mkuu
 
Back
Top Bottom