Heshima kwenu wakuu,naomba kufahamishwa kama CHUMVI YA MAWE inafaa kutumiwa na mtu mwenye shinikizo la damu badala ya ile ya kawaida tunayotumia majumbani.
Chumvi chumvi tu ila wajua faida ya hii unayoitumia?? Imeongezewa iodine na iron kwa vipimo sahihi. Yako ina vitu hivyo?? Mkuu, tumia chumvi kidogo sio mbaya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.