kama anakueleza akitongozwa anakupenda. na swala la kulewa nadhani ni company aliyonayo ndo tatizo. kwa ufupi huyo ukimbana ni anawezekana. try kuwa karibu nae na umpende atayaacha anayofanya.
Wapo wanaume wa hvy dada. Hata ufanyeje hutaweza kumbadirisha kamwe. Kama hujampenda achana nae ila kama unampenda muelekeze taratibu kwa kumpa malengo na kuyasimamia.
Pole sana najua inavyouma. Lakini kisasi kitakuongezea maumivu zaidi.muombe mungu akupe moyo wa kusahau na uiombee familia yako ili wayasahau yaliyopita.
Pole dada. Ila kwa jinsi navyofahamu wanawake hatupendi ila tunajifunza kupenda kutokana na akupendae. Kumbuka wazazi wetu zamani walichaguliwa waume na waliishi.nakushauri mdogo wng usipoteze bahati kama ana vigezo vya msingi we olewa mama coz utaishi maisha mazuri kwani hatakuumiza hata kidogo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.