Recent content by hijack

  1. hijack

    Hadithi

    Wadau nisaidieni story za hadithi mbalimbali nazipata wapi kwa humu jamiiforums
  2. hijack

    Je, ni kweli Waislamu mnakatazwa kuhudhuria mazishi ya kikristo?

    Utapokimbilia mahala kwenye msiba kitendo hicho ni ibada iwe kwako au kwao Unataka kushiriki ibada ipi tena Kesho mtakuja kusema kumsaidia mtu ambae sio imani yako utakuna umeririki ibada ya mtu mwingie ni kosa Mnasahau ya kua kutenda jambo jema ni ibada
  3. hijack

    Unaweza kuangalia kama hela yako inawekwa NSSF kwa njia ya mtandao?

    Wadau naombeni msaada Hivi naweza kuangalia michango yangu ya NSSF kupitia simu.
  4. hijack

    KWELI Wanachama wa NSSF na PSSSF wanaweza kutumia Michango yao kama dhamana ya kuchukulia Mikopo Kujenga, Kuboresha au Kununua nyumba

    Si kweli usijidanganye Hivi kwa mwenye kipato cha chini Awekeze ela kwa miaka 10 huku akiwa anakaa nyumba ya kupanga nakodi analipa Na kukaa kwenyenyumba yake kwa miaka 10 akiwa anayejenga deni taratibu BORA NN
  5. hijack

    KWELI Wanachama wa NSSF na PSSSF wanaweza kutumia Michango yao kama dhamana ya kuchukulia Mikopo Kujenga, Kuboresha au Kununua nyumba

    Mbona mama anakopa si tungeweka ela Kwa miaka 50 ndio tuanze hii miradi mikubwa
  6. hijack

    KWELI Wanachama wa NSSF na PSSSF wanaweza kutumia Michango yao kama dhamana ya kuchukulia Mikopo Kujenga, Kuboresha au Kununua nyumba

    Ni jambo jema sana kwa kuimkwamua Mfanyakazi mwenye kipato kidogo kwamaana wapo wengi mbaka wanastaafu hawana nyumba na wanaishi nyumba za kupanga Itasaidia kwa kua kodi ya pango italipa riba ya mkopo ((ILA RIBA ISIWE KUBWA))
  7. hijack

    Watanzania wana uelewa mdogo kuhusu Pension Fund, 25% ni maamuzi sahihi

    Kwakua viongozi wakubwa Wanaotungu sheria hii wao haiwahusu itafutwe tume isiyoguswa na sheria hii ikiwezekana waje kwenye secta binafsi au migodin watuhoji uwo upuuzi ili wapate majibu
  8. hijack

    Namchora hapa huyu kaka uvumilivu umenishinda

    Kumbe nanyi pia mnataman?
Back
Top Bottom