Recent content by high IQ man

  1. H

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini Jemedari anaongelea sana issues za Yanga

    khaa unaongea nini ndugu, Azizik aliwahi kua mchezaji wa Asec aliecheza kwa mafanikio so pale ni kama amerudi nyumbani kwake, Manzok na Simba wana uhusiano gani?
  2. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka juu ya upotevu wa PC

    shukrani mkuu, ngoja nijipange upya
  3. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka juu ya upotevu wa PC

    🙏🙏
  4. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka juu ya upotevu wa PC

    😂 Jina halihusiki bn
  5. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka juu ya upotevu wa PC

    asante mkuu
  6. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka juu ya upotevu wa PC

    🥺🥺 Watanzania tunarudisha nyuma sana kimaendeleo
  7. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka juu ya upotevu wa PC

    Nimepata somo asee, nilikua nimezoea naweka kwenye carrier juu
  8. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka juu ya upotevu wa PC

    Shukrani mkuu
  9. H

    JamiiForums Tanzania Msaada wa haraka juu ya upotevu wa PC

    Wakuu za jioni, nilikua nasafiri kutoka kigoma kuja Dodoma na bus la AN Classic. Nilikua na kibeg cha mgongoni Ndani kuna PC aina ya HP kulikua kwenye carrier. Kushuka stand naangalia kwenye beg, PC siioni ila zip imefunguliwa, nimetafta kwenye bus lote sjaona kitu, Msaada wakuu kwenye hali...
  10. H

    JamiiForums Tanzania Ushauri unahitajika

    Inategemeana na hali yake ya kumyonyesha mtoto , kama mtoto ana nyonya effectively 8-12 kwa siku hua kuna possibility asipate mimba within 3 months, though sio guarantee tumia njia ya uzazi
  11. H

    JamiiForums Tanzania TFF naomba mkomeshe rushwa kwa waamuzi ili tupate bingwa anaestahili

    Umesahau goli alilofunga Mkude na Prisons mpira ulipigwa kutoka wapi?
  12. H

    JamiiForums Tanzania Mwezi Oktoba mwezi wa Maria

    🙏🙏
  13. H

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku hizi kumekuwa na wimbi kubwa sana la wanaume wanaolia lia kisa wanawake

    Mkuu umetisha sana, laiti wanaume wote wangesoma wakapata point kidogo
  14. H

    JamiiForums Tanzania Coastal Union yatoa tamko kuwa haina mkataba na Kocha Mgunda

    Hizo ni kamba tu wanatupiga
Back
Top Bottom