Recent content by hidden sorrow

  1. H

    English tribute to a deceased loved one. (From English learner)

    Dear Love I know you cannot read this now (may be you can, I don't know), Its been few days since you left us, in the most sudden , shocking and unpredictable way. I am still not able to comprehend and believe that you are actually gone. You were a very important part of my life, and though we...
  2. H

    Nipeni Mbinu za kushinda vita za makazini, naona vita imekua kubwa

    Kama wewe ni mkristo na unaamini katika mambo ya kiroho then you can purchase this e-book from Amazon, kitakusaidia. Kinauzwa $5 tu https://a.co/d/hgRxpfg
  3. H

    Nahitaji pesa za moto

    Una hati ya nyumba?
  4. H

    Msaada: Kijana wangu anaongea vitu havieleweki, atakuwa na tatizo gani?

    Huyu mtoto anakuogopa sana. Hakuna Urafiki kati yako na yeye? Mama yake yupo? Anabehave vipi kwa mama yAke?
  5. H

    Soko la maharage Dar

    Wapendwa tupeane mchongo ndugu zangu. Je ni soko gani kwa hapa Dar linaongoza kwa biashara ya maharage? Yaani kama naleta kutoka mkoani naweza kupeleka soko gani ambapo wanachukua bila usumbufu mwingi? Pia ni aina gani ya maharage inayonunulika sana. Na kama una idea ya bei kwa mwezi April 2025...
  6. H

    Ukifuatilia post za Kelvin Kibenje utagundua jamaa anatembea tu na upepo wake hakuna analolielewa kwenye uhalisia wa biashara hasa hapa Tanzania

    Nakubaliana na mleta uzi, huyu jamaa nilikua namkubali sana kwa kusoma article zake, ila nilipimfuata inbox ndio nikajua mweupe tu, halafu wanaita madarasa kufundisha watu vitu ambavyo hawavijui na hawahajawi kufanya. Mimi naona ni mjanja mjanja tu anaetumia shida za watu kujitajirisha.
  7. H

    Sio kweli kuwa ukifanya ngono na makahaba unajipatia nuksi. Kwanini mambo ya kufikirika yanatutia kiwewe sana?

    Wewe ulitakiwa ukutane na Lulu enzi hizo kabla hajafanyiwa maombi mazito 🏃🏃🏃🏃
  8. H

    Sio kweli kuwa ukifanya ngono na makahaba unajipatia nuksi. Kwanini mambo ya kufikirika yanatutia kiwewe sana?

    😆😆😆sio wote wenye nuksi mkuu kuna wengine wana bahati, ukitembea nao mambo yanakunyookea. Pia si makahaba tu anaweza akawa girlfriend au mke na akawa na gundu au nyota njema Na kila binadamu ana kinga ya asili, hizo transactions za kuexchange nuksi na bahati sio rahisi kivile, ndio maana unaweza...
  9. H

    Tabia 25 za watu wenye IQ kubwa

    Oh kumbe aihusiani? Nilidhani ni lazima niwe kama wale wadada wa St Francis 😜
  10. H

    Tabia 25 za watu wenye IQ kubwa

    Umeona ee, kilaza pro max
  11. H

    Tabia 25 za watu wenye IQ kubwa

    Wow jamani kumbe na mimi nina IQ kubwa, maana sifa zote hizo ninazo. Ila mbona darasani sina akili? I don't understand 😆😆😆
  12. H

    Naombeni ushauri ndugu zangu napitia kipindi kigumu mno.

    Anza kuuza smart phone upate nusu ya ada dogo aende shule
  13. H

    Kicheche anageuka wife material pale anapokuwa ni sexy na mesmerizing. Bandidu anageuka attractive pale anapokuwa na pesa na ushawishi

    Na Aziz tumuweke kwenye kundi la sexy and mesmerizing au la bandidu❓🏃🏃🏃🏃
Back
Top Bottom