Mfalme Daudi anazungumzia maadui zake anaomba Mungu awaadhibu
Lakini Yesu amezungumzia ndugu zako wakikukosea
Je ndugu zako ni adui zako?
Nadhani tupate maana ya adui na ndugu zako
Pia maadui wako wanaojionyesha na wako katika ulimwengu wa roho
Mfano wale walioko katika ulimwengu wa roho wachawi...
Pia ukiachilia mbali kuzaa mtoto
Bond kati ya mzazi na mtoto inaongezeka katika malezi
Pale anapozaliwa mpaka anapokua mkubwa
Ukaribu. Na urafiki unaojenga kati yako na mtoto unaongezeka siku Hadi siku
Ukikaa mbali na mtoto hatakupenda
Na ndio maana unaweza kukuta watoto wanaopelekwa boarding...
Mengi uliyoandika hapa ni ya uongona hakuna utafiti wowote hapo
Umeangalia sehemu ndogo ya watu unaowajua na wanaokuzunguka
Binafsi Nina watoto 4 wote wa kiume sijawahi kumpenda mmoja zaidi ya mwingine watoto wote kwangu ni sawa .nashangaaa sana watu wanaoina eti mtoto Fulani anapendwa...
Kama ilivunjaa mahakamani si alitajiwa apeleke uthibitisho wa talaka
Kama hakupeleka inaa maana hakuna talaka
Mahakama inahitaji vithibitisho sio maelezo ya mdomo
Ndio alipewa vyeti viwili
Katika cheti Cha ndoa Kuna sehemu ya mke mmoja na wake wengi unachagua
Lakini cheti hicho hicho kinatymika kanisani mchungaji au padri anajaza sehemu ya mke mmoja anaweka tick
Kwa sababu kanisani huwezi kuchagua ndoa ya wake wengi
Mliosoma hiyo miaka ya 2000 ndio shida ilipoanzia
Shule ndioi zilianza kukaririsha watoto na kuondoa likizo
Wamekaririshwa tu notes darasani hakuna skills zozote wamepata
Hata kupika tu watoto wetu hawajui kisa kukaa shule
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.